Wazazi wa siku hizi wamewafanya watoto kuwa watumwa wa elimu

Kayumba na EM zote zilezile.

Inategemea na mazingira ya nyumbani ya wazazi na akili ya Mtoto.

Nyumbani kama mnaongea kingereza mtoto atajua kingereza kuliko wanaosoma EM.
Watz wengi hilo hawalielewi wanaona kusomesha mtoto kayumba ni umasikini.
 
Hii ndio inaonyesha tatizo kubwa zaidi linalotukabili...elimu ilitakiwa iwe sehemu ya maisha visiwe vitu viwili tofauti...elimu ilitakiwa itukomboe na itumike katika maisha yetu ya kila siku ....hii iliyopo sasa hivi inatakiwa ipewe jina lingine sio elimu
Umemaliza Mkuu. Nakuunga mkono 100%. Elimu inapaswa isiwe na ukomo (lifelong learning). Pia iwe sehemu ya maisha yetu na si kwa ajili ya kutuandaa kwa baadaye.
 
Shule ni uwezo wa mtu aliopewa na Muumbaji wa viumbe wengine,
Ila siamini kuwa hela inaweza ikamfanya mtu akawa na uwezo Kama sio asili yake,
Mana hata tabora boys wapo waliopata four Ila zero sikumbuki vizuri mwaka wetu,.

Wapo wenye hela wanatumia hela kuitafuta elimu Ila unakuta labda ana uwezo wa kufanya biashara na kuwa tajiri.

Watu hawaelewi kuwa shule inapima only two types of human intelligence out of nine of human intelligence.
Ile claiming capacity and to think I. Abstract, Mana inabidi mtu awaze theory, wapo wakiona wanaelewa fasta mno,
Ndio mana Kuna watu wakipita mfumo wa veta wanakuwa poa mno kuliko kupitia theories tu.
Binafsi nimeingia site nikaona Kama nguvu zinatumika nyingi mfano kuanza kufundishana sehemu za nyumba ghorofa mara column, beam, stairs, foundations kumbe nikiwa site chuma zinasukwa mtu unaelewa fasta Wala sio hata ishu sana. Watu wanafanya shule like breathing but it shouldn't be taken as such.
Imagine sijamaliza ata MILIONI home nimesoma mpaka nikapata bachelor degree na nimesomeshwa nje ya nchi kinachotakiwa ni kufaulu tu.
So sio kuwa ni hela zilikuwa zinanifanya nisome Bali Ile ari yangu ya kukesha. Sijui Kama Kuna mahala inatakiwa ukasomee uwe like Michael Jordan, Kobe Bryant,mime Tyson, bill gates, Dangote, mengi Reginald etc.
Watu hawataki kukubali NATURE.
WEWE KUPATA AMA KUMILIKI KITU SIO KUWA U MJANJA KULIKO ALIYEKOSA. NIMESHUHUDIA MTU ANASOMA ANAKESHA NA KUOMBA KUSALI MPAKA ANALIA KABISA , ILA MATOKEO YAKIJA ANA FOUR OR 30% YA MATHS MUDA HUO HUO KUNA MTU ANASOMA KIMASIHAHARA HATA MIE NAKOMAA KULIKO YEYE ILA ANAYO 98% YA MATHS SO HAPA KUNA NINI.
UNADHANI HUYU NI KUTUMIA HELA NYINGI NDIO AKAWA HIVI.
L
EGO INATUDANGANYA KUWA MAMBO TUNAYOFANIKISHA NI KWA UWEZO WETU. UNAPOTEGA MITEGO PORINI KUMNASA mnyama sio kuwa wewe ndiye umemuita akaja kunasa.
Unamkumbuka yesu alipotupa nyavu ziwani samaki walivyonasa
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Miaka 7 unavaa nepi mzee, ulikua na ugonjwa gani??
Wakati huo mie miaka 7 ni mshambuliaji tegemezi kwenye timu yetu ya watoto mtaani.
Kweli tumetofautiana sana, engine wana akili ndogo... mimi miaka saba nilikua najua mpaka kuendesha helicopter...
 
Elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu lakini hutakiwi kuwa mtumwa elimu kwa sababu kuna maisha nje ya elimu.

Wazazi wa siku hizi sijui ni ujinga au ni ulimbukeni yaani unaamka 12:00 asubuhi kwenda kwenye mishe zako unakutana na rundo la watoto wa miaka 5,4,3 wakiwa wanasuburi daladala wengine kwenye bodaboda eti wanawahi shule asubuhi penyewe kunakuwa na baridi kali.

Hivi nyinyi wazazi mmeshindwa kuzishinikiza uongozi wa hizo shule zenu wakabadilisha muda wa kilipoti shule angalau ikawa 2:30 kwa hivi vitoto vidogo vya kindagat?

Yaani mzazi una akili timamu una muamusha mtoto wako wa miaka 3,4,5 uliye mzaa kwa uchungu usiku wa baridi kali eti unampeleka shule kweli? Kwanza mtoto wa miaka miaka 3 unampeleka shuleni akasome nini zaidi ya kuchocha ubongo wake tu?

Leo nimeamka mapema sana kwenda kwenye mishe nimekutana na kisa kimoja ndo kimenifanya niandike mada hii.

Nimekutana na watoto 3 nadhani ni watoto wa familia Moja kwa sababu walikuwa wanafanana walikuwa na binti nadhani ni binti wa kazi alikuwa anawasindikiza shuleni, mmoja alikuwa mkubwa kidogo kwa kumkadilia ana wasitani wa miaka 7 wa pili kwa kumkadilia ni miaka 5 sasa haka ka 3 ndo nimekaonea huruma kweli kalikuwa kadogo sana nadhani hata miaka 3 kalikuwa hakajakamilisha vizuri kalikuwa ka kike.

Sasa wenzake wakawa anatembea haraka wana kaacha nyuma kale kadogo kakawa kanalia, sasa nikamuuliza yule binti aliye kuwa nao kuwa kwanini usimbebe huyo mtoto huoni kwa kwamba ni mdogo hawezi kutembea kama wenzake? Akanijibu kuwa kama wazazi wake walijua ni Mtoto kwanini walimpeleka shule acha apambane aisee nilijisikia vibaya na kumuonea huruma yule mtoto.

Kuna wale wazazi wengine hawawapi nafasi watoto wao kufanya mambo mengine nje ya kusoma, unakuta mtoto anatoka shule, anamaliza kula anaenda tuition akirudi tuition bado usiku ana rundo la homework, mambo yanaendelea hivyo mpaka wakifunga shule ,wakisha funga shule ana mlipia tuition yaani mtoto hana muda wa kupumzika na kufanya na kujifunza mambo mengine nje ya kusoma.

Yaani mzazi anamjengea mtoto fikra kichwani kuwa hakuna maisha mengine nje ya kusoma hapa duniani alafu huyo mtoto akisha hitimu hiyo elimu aliyo muaminisha ndo kila kitu, akikosa ajira anaanza kumfukuza mtoto nyumbani eti aende apambane akatafute maisha,hivi aende atafute maisha yapi ambayo ww huhawahi kumfundisha?

Utamuambiaje mtoto ambaye ulimuaminisha kuwa kusoma ndo kila kitu eti ashike jembe akalime?
Utamuambije mtoto akawe, boda boda, asukume tolori, asaidie fundi, atembeze matunda,apike chips hali yakuwa umemkuza katika fikra za kuamini kuwa hizo ni kazi za wasio na elimu?

Mzazi hakikisha unamlea mtoto katika maisha ambayo una uhakika na uwezo wa kumpatia hata pale atakapo mkubwa , sio mtoto unalea kama sungura alafu unataka akikuwa aishi kama simba au chui.
Inasikitisha sana mkuu.

Yaani saa 11 alfajiri unakutana na mtoto wa miaka mitano anasubiri basi aende shule.

Yaani unakuta mtoto anasinzia kituoni kusubiri gari maana kama mtoto saa 11 alfajiri yupo kituoni obviously atakuwa ameamshwa saa 10 kujiandaa.😒

Hapo kurudi nyumbani ni saa 12 jioni hadi saa mbili usiku kulingana na foleni ya siku husika.

Serikali kuna haja ya kutunga sheria kabisa ya elimu ili watoto waripoti shuleni saa mbili na kutoka saa tisa maana elimu sio vita aise.
 
Wazazi wanafanya ukatili dhidi ya watoto wao bila kujua.
 
Elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu lakini hutakiwi kuwa mtumwa elimu kwa sababu kuna maisha nje ya elimu.

Wazazi wa siku hizi sijui ni ujinga au ni ulimbukeni yaani unaamka 12:00 asubuhi kwenda kwenye mishe zako unakutana na rundo la watoto wa miaka 5,4,3 wakiwa wanasuburi daladala wengine kwenye bodaboda eti wanawahi shule asubuhi penyewe kunakuwa na baridi kali.

Hivi nyinyi wazazi mmeshindwa kuzishinikiza uongozi wa hizo shule zenu wakabadilisha muda wa kilipoti shule angalau ikawa 2:30 kwa hivi vitoto vidogo vya kindagat?

Yaani mzazi una akili timamu una muamusha mtoto wako wa miaka 3,4,5 uliye mzaa kwa uchungu usiku wa baridi kali eti unampeleka shule kweli? Kwanza mtoto wa miaka miaka 3 unampeleka shuleni akasome nini zaidi ya kuchocha ubongo wake tu?

Leo nimeamka mapema sana kwenda kwenye mishe nimekutana na kisa kimoja ndo kimenifanya niandike mada hii.

Nimekutana na watoto 3 nadhani ni watoto wa familia Moja kwa sababu walikuwa wanafanana walikuwa na binti nadhani ni binti wa kazi alikuwa anawasindikiza shuleni, mmoja alikuwa mkubwa kidogo kwa kumkadilia ana wasitani wa miaka 7 wa pili kwa kumkadilia ni miaka 5 sasa haka ka 3 ndo nimekaonea huruma kweli kalikuwa kadogo sana nadhani hata miaka 3 kalikuwa hakajakamilisha vizuri kalikuwa ka kike.

Sasa wenzake wakawa anatembea haraka wana kaacha nyuma kale kadogo kakawa kanalia, sasa nikamuuliza yule binti aliye kuwa nao kuwa kwanini usimbebe huyo mtoto huoni kwa kwamba ni mdogo hawezi kutembea kama wenzake? Akanijibu kuwa kama wazazi wake walijua ni Mtoto kwanini walimpeleka shule acha apambane aisee nilijisikia vibaya na kumuonea huruma yule mtoto.

Kuna wale wazazi wengine hawawapi nafasi watoto wao kufanya mambo mengine nje ya kusoma, unakuta mtoto anatoka shule, anamaliza kula anaenda tuition akirudi tuition bado usiku ana rundo la homework, mambo yanaendelea hivyo mpaka wakifunga shule ,wakisha funga shule ana mlipia tuition yaani mtoto hana muda wa kupumzika na kufanya na kujifunza mambo mengine nje ya kusoma.

Yaani mzazi anamjengea mtoto fikra kichwani kuwa hakuna maisha mengine nje ya kusoma hapa duniani alafu huyo mtoto akisha hitimu hiyo elimu aliyo muaminisha ndo kila kitu, akikosa ajira anaanza kumfukuza mtoto nyumbani eti aende apambane akatafute maisha,hivi aende atafute maisha yapi ambayo ww huhawahi kumfundisha?

Utamuambiaje mtoto ambaye ulimuaminisha kuwa kusoma ndo kila kitu eti ashike jembe akalime?
Utamuambije mtoto akawe, boda boda, asukume tolori, asaidie fundi, atembeze matunda,apike chips hali yakuwa umemkuza katika fikra za kuamini kuwa hizo ni kazi za wasio na elimu?

Mzazi hakikisha unamlea mtoto katika maisha ambayo una uhakika na uwezo wa kumpatia hata pale atakapo mkubwa , sio mtoto unalea kama sungura alafu unataka akikuwa aishi kama simba au chui.
Kila siku huwa naamka saa kumi na moja na nusu alfajiri kufanya jogging, njiani napishana na school busses nyingi humo ndani watoto karibu wote wamechapa usingizi.
 
Dah!

Ova
 
Wazazi wa siku hizi wana mambo ya kiwaki sana.
 
Back
Top Bottom