Wazazi wa siku hizi wamewafanya watoto kuwa watumwa wa elimu

Hivi mzazi kumpeleka shule mtoto wa miaka 3 ni kwamba anakuwa na shughuli nyingi za kufanya au ni fashion??
Elimu ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu lakini hutakiwi kuwa mtumwa elimu kwa sababu kuna maisha nje ya elimu.

Wazazi wa siku hizi sijui ni ujinga au ni ulimbukeni yaani unaamka 12:00 asubuhi kwenda kwenye mishe zako unakutana na rundo la watoto wa miaka 5,4,3 wakiwa wanasuburi daladala wengine kwenye bodaboda eti wanawahi shule asubuhi penyewe kunakuwa na baridi kali.

Hivi nyinyi wazazi mmeshindwa kuzishinikiza uongozi wa hizo shule zenu wakabadilisha muda wa kilipoti shule angalau ikawa 2:30 kwa hivi vitoto vidogo vya kindagat?

Yaani mzazi una akili timamu una muamusha mtoto wako wa miaka 3,4,5 uliye mzaa kwa uchungu usiku wa baridi kali eti unampeleka shule kweli? Kwanza mtoto wa miaka miaka 3 unampeleka shuleni akasome nini zaidi ya kuchocha ubongo wake tu?

Leo nimeamka mapema sana kwenda kwenye mishe nimekutana na kisa kimoja ndo kimenifanya niandike mada hii.

Nimekutana na watoto 3 nadhani ni watoto wa familia Moja kwa sababu walikuwa wanafanana walikuwa na binti nadhani ni binti wa kazi alikuwa anawasindikiza shuleni, mmoja alikuwa mkubwa kidogo kwa kumkadilia ana wasitani wa miaka 7 wa pili kwa kumkadilia ni miaka 5 sasa haka ka 3 ndo nimekaonea huruma kweli kalikuwa kadogo sana nadhani hata miaka 3 kalikuwa hakajakamilisha vizuri kalikuwa ka kike.

Sasa wenzake wakawa anatembea haraka wana kaacha nyuma kale kadogo kakawa kanalia, sasa nikamuuliza yule binti aliye kuwa nao kuwa kwanini usimbebe huyo mtoto huoni kwa kwamba ni mdogo hawezi kutembea kama wenzake? Akanijibu kuwa kama wazazi wake walijua ni Mtoto kwanini walimpeleka shule acha apambane aisee nilijisikia vibaya na kumuonea huruma yule mtoto.

Kuna wale wazazi wengine hawawapi nafasi watoto wao kufanya mambo mengine nje ya kusoma, unakuta mtoto anatoka shule, anamaliza kula anaenda tuition akirudi tuition bado usiku ana rundo la homework, mambo yanaendelea hivyo mpaka wakifunga shule ,wakisha funga shule ana mlipia tuition yaani mtoto hana muda wa kupumzika na kufanya na kujifunza mambo mengine nje ya kusoma.

Yaani mzazi anamjengea mtoto fikra kichwani kuwa hakuna maisha mengine nje ya kusoma hapa duniani alafu huyo mtoto akisha hitimu hiyo elimu aliyo muaminisha ndo kila kitu, akikosa ajira anaanza kumfukuza mtoto nyumbani eti aende apambane akatafute maisha,hivi aende atafute maisha yapi ambayo ww huhawahi kumfundisha?

Utamuambiaje mtoto ambaye ulimuaminisha kuwa kusoma ndo kila kitu eti ashike jembe akalime?
Utamuambije mtoto akawe, boda boda, asukume tolori, asaidie fundi, atembeze matunda,apike chips hali yakuwa umemkuza katika fikra za kuamini kuwa hizo ni kazi za wasio na elimu?

Mzazi hakikisha unamlea mtoto katika maisha ambayo una uhakika na uwezo wa kumpatia hata pale atakapo mkubwa , sio mtoto unalea kama sungura alafu unataka akikuwa aishi kama simba au chui.
 
Binafsi kwa hili nakubaliana na wewe.

Kwanza mimi ningepiga marufuku uniforms.Kila mtoto avae kistaarabu basi.
 
Halafu akihitimu kwenye solo la ajira chenga juzi nilimsindikiza wife kwa interview ebwana Walimu wanaohitajika wa Jiografia hawazidi 16 Tz wao katika KITUO- Chao walikuwa kama 800 ni hatari sana
 
wazazi wakiwa na kauwezo tu, wanatelekeza watoto kuanzia primary one, nakuendelea ni mtindo wa kuwapeleka EDUCATIONAL DENTENTION CENTRES, (boarding schools, pre-primary na kuendelea), ndyo hao watoto wenye changamoto nyingi, suicides, LGBTQ etc
 
Ndio maana watoto wengi wanakuwa na uelewa finyu wa maisha kwa sababu wamekaririshwa Elimu ndo kila kitu ndo maana huwezi kufanikiwa maisha kwa kutegemea Kuajiriwa utaishi kuwa mtumwa wa kazi kwa sababu hauna maarifa au ujuzi wowote wa kuweza kujiinua zaidi kiuchumi
 
  • Thanks
Reactions: ITR
kila mtu anatafuta kilicho bora mkuu, na anapambana awezavyo, mbona kuna wanaume wanahonga huku wao wanashindia mihogo, issue ni je ana uwezo wa kulipa hiyo mil 2 hata kwa kuvuja damu, kama ndio na ameamua, basi acha kipenda roho kile nyama mbichi
Hakuna kilicho bora kinacho weza kupatikana nje ya uwezo wa kipato chako.
Ww unajitutua unauza mashamba na mifugo unaingia kwenye madeni eti mtoto akasome shule za gharama ,mtoto anahitimu masomo alafu ndo anakutana na hizi ajira za ccm za wahitimu ni laki 2 wanao ajiliwa ni 20000 tu mwisho wa siku anarudi hapo nyumbani anakuta hana hata pa kuanzia mali zote ulisha uza ili asome mwisho wa siku familia nzima inadumbukia kwenye umasikini wa kutisha.

Hata akibahatika kuajiliwa anakuta familia ni masikini maana vitega uchumi vyake viliuzwa ili asome hivyo yeye ndo ana beba majukumu wa wazazi na wadogo zake na mshahara mwenyewe ni 700,000 kwa mwezi

Huyo anaye honga pesa nyingi alafu yeye akashindia mihogo unamuita jina gani zaidi ya kumuita mpumbavu?

Basi ndo hivyo hivyo kwa mtu anaye lazimisha kuishi maisha yasiyo endana na kipato chake hakuna jina unalo weza kumuita zaidi ya kumuita mjinga.

Mungu kuweka madaraja ya maisha alikuwa na maana kubwa sana unatakiwa kuishi maisha ya daraja uliloko.
Huwezi kuwa Juma alafu ulazimishe kuishi maisha ya Mwigulu alafu utegemee kubaki salama.
 
Ndio maana watoto wengi wanakuwa na uelewa finyu wa maisha kwa sababu wamekaririshwa Elimu ndo kila kitu ndo maana huwezi kufanikiwa maisha kwa kutegemea Kuajiriwa utaishi kuwa mtumwa wa kazi kwa sababu hauna maarifa au ujuzi wowote wa kuweza kujiinua zaidi kiuchumi
Wazazi tunatakiwa kubadilika kama una mashamba hakikisha kipindi cha likizo watoto unaenda nao shamba ili wajue umuhimu wa kilimo.
Kama una biashara washilikishe na wafundishe namna unavyo fanta biashara zako nakuhakikisha hao watoto wana asilimia kubwa kutoboa.
 
Kwa kawaida mtoto inatakiwa saa tatu usiku isimkute macho ili alale masaa nane saa kumi na moja kamili isimkute kitandani ili awe active hata kwenye kazi zake atazoea kuamka mapema
Saa 11 mtoto anaamka aende wapi? Nyinyi ndio mnaozungumziwa humu.
 
Mtoto ataanza shule Akiwa na Miaka 5
Darasa Kwanza Miaka 6
Atasoma shule za karibu umbali wa kupelekwa kwa Miguu hata pasipokuwa na school Bus.

Imeisha hiyo
Una kuta shule iliyo karibu ni kayumba na wao hawataki watoto wao wasomee kayumba.
 
Kayumba na EM zote zilezile.

Inategemea na mazingira ya nyumbani ya wazazi na akili ya Mtoto.

Nyumbani kama mnaongea kingereza mtoto atajua kingereza kuliko wanaosoma EM.
 
Saa 11 mtoto anaamka aende wapi? Nyinyi ndio mnaozungumziwa humu.
Kujianda means afanye ibada aoge anywe chai avae unadhani hizi process zote zinachukua mda gani ili saa kumi na mbili kamili au kasoro awe stand.
Ndo akili itakuwa sharp atapumzika wakati wa likizo
 
Saa 12 awe stendi kwenda wapi? Mnatesa watoto sana. Darasani masomo wanaanza saa ngapi?
 
100% Fact. Ndio maana Kila siku nasema elimu hii ya mtaala wa Necta haistahili kulipiwa kwa sababu haina inacho kitoa ndani ya mwanafunzi na kukileta nje kwenye uhalisia. Naambiwaga nitafute hela eti sina hela🤣🤣🤣🤣
Ulimbukeni tu wa watu na wengi wao hawana elimu kubwa mno, sijui Kama Kuna mzazi aliyesoma akapata wani divisheni olevo na advance na chuo akasoma udsm anashobokea sana elimu.
Mwanangu anajua kusoma ,kuandika akiwa nyumbani Tena both English and Swahili.

Bora nilipe mwalimu laki 2 aje nyumbani,
Kuna muda namie nilikuwa nawahi kwenda shule aisee yaani katoto kadogo eti ni shule, hata mtt haenjoi utoto wake ambao ni kula kucheza na kulala kwa sana.
Mie huwa nakataa yaani analala mpaka usingizi uishe kabisa.
Huwa Nina mpango awe anaenda shule kwa siku tatu katika wiki mbona atafaulu, yaani watu wanachukulia elimu Kama vile oxygen
 
Fact
 
Kujianda means afanye ibada aoge anywe chai avae unadhani hizi process zote zinachukua mda gani ili saa kumi na mbili kamili au kasoro awe stand.
Ndo akili itakuwa sharp atapumzika wakati wa likizo
Mtoto wa miaka 3 au 4 atafanya ibada gani?
 
Back
Top Bottom