DOKEZO Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni umuhimu wa leaving certificate?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu kulima, wapunguziwe ila wasiache, ila hiyo michango! Sheria ihusike...nahisi pia tayari kuna uadui kati ya walimu na wazazi/wanafunzi, haya matatizo huanzia mbali.
 
Hii shule imeshindikana kwa kweli michango isiyoeleweka watoto wanatumikishwa Kama wafungwa iwe mvua iwe jua wanalima kilimo Cha kufa mtu jaman hapana na tatzo lipo kwa headmaster ndo kiongozi
Alafu wewe ni madam wa Bujunangoma.............
 
Bado bado bado subiri mkuu
 
Mtoa mada, una elimu gani na umri gani?

Wasilisha changamoto zako kwa Afisa Elimu Kata, akishindwa uende kwa Afisa Elimu Wilaya, akishindwa muone mkuu wa wilaya au DED.

ILA KWA CHANGAMOTO HIO, HATA UKIMUONA MWENYEKITI WA KIJIJI anaweza kuwasaidia.
 
Nyie ndo mnatuaibisha wahaya[emoji848]
 
Poleni ndugu zangu yote yamesababishwa na serekali ya chama kibovu kisichijali watu wake
 
Hii shule imeshindikana kwa kweli michango isiyoeleweka watoto wanatumikishwa Kama wafungwa iwe mvua iwe jua wanalima kilimo Cha kufa mtu jaman hapana na tatzo lipo kwa headmaster ndo kiongozi
Uache ujinga wa kupotosha umma na kujisajiri Kwa majina yasikuwa yako akili munayotumia ni kitoto sana ,, ww unasema unalima na yule alianza Anza shule hii na mazingira ya nyika asemeje
 
Hii shule imeshindikana kwa kweli michango isiyoeleweka watoto wanatumikishwa Kama wafungwa iwe mvua iwe jua wanalima kilimo Cha kufa mtu jaman hapana na tatzo lipo kwa headmaster ndo kiongozi
Yaaaaaan wew unaejarbu kuchafua bujunangom secondary ili halii cc tunaijuia fikaa
Nakushauriii achaaaa hizooooo tabia
Usifanye kazi kwa kumchafua mwenzio
Hao ni walimu watu kujaaa wanekuja kuwaelimishaa jamii unawachukuliaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…