Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa.

Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo
Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
 
Kama nimekuelewa vile
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Enzi zetu tulitumia vichaka kama sehem ya kujifunzia mapenzi, tungekuwa na camera connection zingekuwa nyingi sana maana ingekuwa mnaviziana kwenye miti juu...

Juzi kuna chaka nimepita nikakutana na bush guest moja nikakumbuka mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1]

IMG_20220803_093222.jpg
 
Heri hata hayo vipi utajisikiaje mzazi unazaa mtoto wako wa kiume halafu anakuwa shoga..?

Mara hii kwenye maswala ya ulezi wazazi wazidishe ukali,watumie akili nyingi ktk malezi na ufatiliaji uwe mkubwa.. chakushangaza wazazi wengi wamelegeza kamba!.
 
Kwani wewe hukupitia hiyo stage? Haya yalikuwepo toka enzi na enzi, sema zamani hakukuwa na mi camera ya kuchukua matukio..
kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.

NB:
mleta mada asante kwa uzi mzuri wa kutukumbusha wajibu wetu sisi wazazi wa kuwalea ktk maadili bora na kuwalinda wototo wetu.
 
Heri hata hayo vipi utajisikiaje mzazi unazaa mtoto wako wa kiume halafu anakuwa shoga..?

Mara hii kwenye maswala ya ulezi wazazi wazidishe ukali,watumie akili nyingi ktk malezi na ufatiliaji uwe mkubwa.. chakushangaza wazazi wengi wamelegeza kamba!.

Hao hapo wenyewe kwa ujasiri walonao sijajua kama ni wakiume tupu au ni wakike na kiume
Mungu atunusuru
 
kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.

NB:
mleta mada asante kwa uzi mzuri wa kutukumbusha wajibu wetu sisi wazazi wa kuwalea ktk maadili bora na kuwalinda wototo wetu.

Sijakuelewa sana smarter
Asante na wewe pia
 
Mbona kama anaselebuka ngoma ya jose chameleon 😂, au nimeona tofauti na ulivyoona.
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Enzi zetu tulitumia vichaka kama sehem ya kujifunzia mapenzi, tungekuwa na camera connection zingekuwa nyingi sana maana ingekuwa mnaviziana kwenye miti juu...

Juzi kuna chaka nimepita nikakutana na bush guest moja nikakumbuka mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1]

View attachment 2316359
wacha wee
 
Wazazi wamekuwa wengi...

Ukiacha baba na mama kuna wazazi wapya wa dunia ambao ni utandawazi, ushoga, usagaji, Mario, slayqeen...

Hapa ni bora kuwalea watoto katika njia ipasayo nao hawataiacha hata milele...

Yani neno la MUNGU na Kiboko...

Sikuizi watoto hawachapwi...
 
Wengi wa wanaoitwa wazazi ni wazaaji na sio wazazi.

Wazaaji ni wengi kuliko wazazi.
 
Kila mtoto wa kike anataka awe kama wema, uwoya,kajala,zuchu
Wakiume wanataka wawe kama mwijku,levo,mondi hao ndiyo role model wao

Ovq
 
hao madogo wanapigana miti
au wanacheza mziki kwa kukatikiana sioni vizuri aisee
kama wanapigana miti basi ni noma aisee
 
kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.

NB:
mleta mada asante kwa uzi mzuri wa kutukumbusha wajibu wetu sisi wazazi wa kuwalea ktk maadili bora na kuwalinda wototo wetu.
Acha makasiriko mkuu.... Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufunga macho...

Foolish age is real, utake usitake mwanao lazima aipitie.

Hakuna mahali nimehalalisha, ila nimeongea tuu ukweli kwamba hiyo ni stage tuu ya ukuaji..
 
Back
Top Bottom