Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

Wazazi wa watoto teenagers Mungu atupe ufunuo wa kulea hawa viumbe

Mtambulishe mtoto wako kwa Mungu, akishamjua Mungu mengine si kazi yako....Mungu atayamaliza.
 
Msizae watoto kama hamuwezi kuwalea hadi mpate ufunuo.
Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa.

View attachment 2316345

Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo
Sijui tunafanyaje[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Malezi ya kizazi hiki ni magumu nyie!!! Nimewaza mimba za utotoni, nikawaza vile wengine wa watoto wetu tumewazaa na maambukizi ya vvu nikachoka kabisa.

View attachment 2316345

Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo
Sijui tunafanyaje😓😓😓😓😓
Ni kama humo kwenye bus kuna muziki unahusu kukatika, alaumiwe pia anayeweka muziki wa aina hiyo walipo watoto
 
Back
Top Bottom