[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Kama nimekuelewa vile
Tusifanye..Utu uzima dawa. Kila hatua ya malezi imekua na changamoto zake mnooo
Sijui tunafanyaje
kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.Kwani wewe hukupitia hiyo stage? Haya yalikuwepo toka enzi na enzi, sema zamani hakukuwa na mi camera ya kuchukua matukio..
Heri hata hayo vipi utajisikiaje mzazi unazaa mtoto wako wa kiume halafu anakuwa shoga..?
Mara hii kwenye maswala ya ulezi wazazi wazidishe ukali,watumie akili nyingi ktk malezi na ufatiliaji uwe mkubwa.. chakushangaza wazazi wengi wamelegeza kamba!.
kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.
NB:
mleta mada asante kwa uzi mzuri wa kutukumbusha wajibu wetu sisi wazazi wa kuwalea ktk maadili bora na kuwalinda wototo wetu.
wacha wee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Enzi zetu tulitumia vichaka kama sehem ya kujifunzia mapenzi, tungekuwa na camera connection zingekuwa nyingi sana maana ingekuwa mnaviziana kwenye miti juu...
Juzi kuna chaka nimepita nikakutana na bush guest moja nikakumbuka mbali sana[emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 2316359
Acha makasiriko mkuu.... Huwezi kukwepa ngumi ya uso kwa kufunga macho...kauli ya kijinga kutoka kwa mzazi mjinga, kwa hiyo kama wewe ulilawitiwa/kubakwa utotoni kwako ndio usichukue tahadhari ya kumlinda mwanao kisa yalikuwepo toka enzi?. huna akili.
NB:
mleta mada asante kwa uzi mzuri wa kutukumbusha wajibu wetu sisi wazazi wa kuwalea ktk maadili bora na kuwalinda wototo wetu.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]wacha wee