Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Hiki kitu hata Mimi sijakielewa, ni msaada au ni sadaka?

Kama ni msaada lazima ulenge mahitaji ya wahusika, je nyama ndio hitaji Lao hapo shuleni? Hawana changamoto zinazowakabili?

Kama ni sadaka huwa imebeba maagano fulani ya kiroho, hao wanaopelekewa sadaka wameshirikishwa kikamilifu kwenye hayo maagano ya iyo sadaka?
Yes. Kuna sadaka Zina maagano. Na huwa zinajibu haraka sana. Hasa sadaka zinazohusisha damu. Wapekele huo msaada kwa yatima.

Shule mahitaji yao ni kujengewa ukuta. Waafrika embu tutoke katika huu usingizi mzito tuliolala.
 
Waafrica Kuna watu wa ajabu sana, na bado humu Kuna watu wanashangaa wazazi kukataa hizo nyama.
Kweli kabisa watu wanahitaji msaada wa nyama? Nyama ya nini sasa?
Kwanini wasiwajengee ukuta, au madarasa au hata vyoo basi
 
Huyu Mkuu Wa Wilaya naye chenga tupu..

Wananchi wametoa ombi la msingi, Ngombe na Mbuzi ziuzwe kisha wajengewe Ukuta, hilo ndiyo hitaji lao la msingi.. Kwanini kuwalazimisha kula nyama ambayo hawajaomba?
Ndio ujue Kuna watu akili hawana kabisa, nyama ya nini?
Badala ya kusisitiza vitu ambavyo vitadumu na kesho, yeye analalama watu wale nyama. Kama ana shida ya nyama si apeleke wale kwake.
Jenga ukuta, au madarasa,
 
Acha kuwa na akili za kijinga wewe misaada nchi hii haijaanza kutolewa leo na waislamu mbona siku za pasaka mnapewa pale msimbazi center kwenye nyumba ya watoto orphans na mnapokea?
Hao hawahitaji nyama, si wapeleke wanapohitahi nyama?
Hao wanahitaji ukuta wa shule, nyama watanunua wenyewe.
 
Yes. Kuna sadaka Zina maagano. Na huwa zinajibu haraka sana. Hasa sadaka zinazohusisha damu. Wapekele huo msaada kwa yatima.

Shule mahitaji yao ni kujengewa ukuta. Waafrika embu tutoke katika huu usingizi mzito tuliolala.
Ndio humu tunasemaga Africa tuna laana, watu hawaitaji nyama wanahitaji ukuta, madarasa, madawati na vitendea kazi. Nyama kila mtu atakula kwake kwa wakati wake.
Mpe mtu msaada wa nyavu na sio samaki, ili kesho ukiwa haupo avue mwenyewe samaki
 
Tunachangia. Inashangaza Sana kutumia nguvu kuwalazimisha watu wachukue sadaka ya nyama ya mbuzi na ngombe na wali.
Hajalazimishwa mtu wapo wanaotaka na wasiotaka.anaetaka apewe asiyetaka aende akale kwao
 
Wewe ni mjinga, hayo makobazo yanakufinya akili. Unatoaje msaada wa nyama? Ndio nyie mnaopewa samaki badala ya nyavu
Mbona mnapokea na kuendelea kula? Gomeni tujuee hamtaki basi.
 
"Tunachukiana kwa sababu tunaogopana.
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana.
Hatujuani kwa sababu tunatengana.
Dunia ni nzuri.. walimwengu hawana maana."​
 
Si wapeleke tu hao wanyama wakachinje wenyewe.
 
Hivyo vyakula walete huku kwetu Mliayoyo wanafunzi waongeze lishe😊
 
Walete nyama huku mbande secondary watoto watoe shavu ,ila kama wanataka wajengewe ukuta wa shule it's okay hizo mbuzi, ng'ombe ziuzwe wanunue cement za ujenzi wa ukuta.
Ila waarabu wanapenda misosi aisee big up
 
Yaani wanagomea ''Swadaka''

Basi wawape pesa yenye thamani ya hao wanyama wakajinunulie nyama wenyewe, tena watatumia zaidi ya mwaka mmoja.8

TAKIBIIIR......!
 
Kwani siku zote watoto wameishije? Wapo sahihi. Bora wangesema misaada ila unapewa sadaka. Unajua wamenenea nini? Hata mimi ninhekataza wanangu kila hiyo. Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Unataka unganisha watu na majini ya kiarabu alafu unalazimisha. Kama wana nia ya dhati wangetoa pesa watoto wanunuliwe chakula sio kondoo, mbuzi na ngamia. Niliona Morogoro hiyo, watu wameshtuka hawataki ungamanishwa na mapepo.
We ni mpumbavu Sana
 
Back
Top Bottom