Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Mawazo ya kijinga kabisaHizo nyama zingefaa kama wayahudi ndo walizileta kwasababu zingekuwa na baraka za kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya kijinga kabisaHizo nyama zingefaa kama wayahudi ndo walizileta kwasababu zingekuwa na baraka za kutosha.
Yes. Kuna sadaka Zina maagano. Na huwa zinajibu haraka sana. Hasa sadaka zinazohusisha damu. Wapekele huo msaada kwa yatima.Hiki kitu hata Mimi sijakielewa, ni msaada au ni sadaka?
Kama ni msaada lazima ulenge mahitaji ya wahusika, je nyama ndio hitaji Lao hapo shuleni? Hawana changamoto zinazowakabili?
Kama ni sadaka huwa imebeba maagano fulani ya kiroho, hao wanaopelekewa sadaka wameshirikishwa kikamilifu kwenye hayo maagano ya iyo sadaka?
Mkuu Naona umekazana kutukana watu bila kuwapa hoja au kuwapinga kwa hojaWe jamaa ni mjinga sana. Sasa basi tufanye usiwe unakula ili usiende chooni. Eboo
Waafrica Kuna watu wa ajabu sana, na bado humu Kuna watu wanashangaa wazazi kukataa hizo nyama.Hiki kitu hata Mimi sijakielewa, ni msaada au ni sadaka?
Kama ni msaada lazima ulenge mahitaji ya wahusika, je nyama ndio hitaji Lao hapo shuleni? Hawana changamoto zinazowakabili?
Kama ni sadaka huwa imebeba maagano fulani ya kiroho, hao wanaopelekewa sadaka wameshirikishwa kikamilifu kwenye hayo maagano ya iyo sadaka?
Ndio ujue Kuna watu akili hawana kabisa, nyama ya nini?Huyu Mkuu Wa Wilaya naye chenga tupu..
Wananchi wametoa ombi la msingi, Ngombe na Mbuzi ziuzwe kisha wajengewe Ukuta, hilo ndiyo hitaji lao la msingi.. Kwanini kuwalazimisha kula nyama ambayo hawajaomba?
Hao hawahitaji nyama, si wapeleke wanapohitahi nyama?Acha kuwa na akili za kijinga wewe misaada nchi hii haijaanza kutolewa leo na waislamu mbona siku za pasaka mnapewa pale msimbazi center kwenye nyumba ya watoto orphans na mnapokea?
Wewe ni mjinga, hayo makobazo yanakufinya akili. Unatoaje msaada wa nyama? Ndio nyie mnaopewa samaki badala ya nyavuWe jamaa ni mjinga sana. Sasa basi tufanye usiwe unakula ili usiende chooni. Eboo
Ndio humu tunasemaga Africa tuna laana, watu hawaitaji nyama wanahitaji ukuta, madarasa, madawati na vitendea kazi. Nyama kila mtu atakula kwake kwa wakati wake.Yes. Kuna sadaka Zina maagano. Na huwa zinajibu haraka sana. Hasa sadaka zinazohusisha damu. Wapekele huo msaada kwa yatima.
Shule mahitaji yao ni kujengewa ukuta. Waafrika embu tutoke katika huu usingizi mzito tuliolala.
Hajalazimishwa mtu wapo wanaotaka na wasiotaka.anaetaka apewe asiyetaka aende akale kwaoTunachangia. Inashangaza Sana kutumia nguvu kuwalazimisha watu wachukue sadaka ya nyama ya mbuzi na ngombe na wali.
Hakuna hoja hapa ni elimu inahitajika. Ujinga na upumbavu siyo tusi mkuu.Mkuu Naona umekazana kutukana watu bila kuwapa hoja au kuwapinga kwa hoja
Mbona mnapokea na kuendelea kula? Gomeni tujuee hamtaki basi.Wewe ni mjinga, hayo makobazo yanakufinya akili. Unatoaje msaada wa nyama? Ndio nyie mnaopewa samaki badala ya nyavu
Sijawahi kusikia wakipelekaga huko [emoji23][emoji23]Huo msaada si wapeleke jela, vituo vya watoto yatima
Huo msaada utakua kila siku?
We ni mpumbavu SanaKwani siku zote watoto wameishije? Wapo sahihi. Bora wangesema misaada ila unapewa sadaka. Unajua wamenenea nini? Hata mimi ninhekataza wanangu kila hiyo. Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Unataka unganisha watu na majini ya kiarabu alafu unalazimisha. Kama wana nia ya dhati wangetoa pesa watoto wanunuliwe chakula sio kondoo, mbuzi na ngamia. Niliona Morogoro hiyo, watu wameshtuka hawataki ungamanishwa na mapepo.