Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

Mkuu umeuelewa Uzi lakini? Analalamika hapa ni Dada kuwa wazazi wake wamempangia mahari kubwa mpenzi wake sasa yeye anaona hicho ni kitendo Cha kumkomoa ili asiolewe
 
Mm sio pisi kali..Mm ni binadamu sitaki kuuzwa
Hapa ndio tatizo linapoanzia. Nani kakwambia kuwa baba yako anakuuza? Hiyo nintoken of appreciation bwana wewe. Yaani nyie watoto mnajidai wajuaji sana kumbe hamna lolote. Huyo mwanaume unayetaka kuolewa nae laziama aheshimu uwepo wa wazazi na matakwa ya wazazi. Wee utaendelea kuwa mtoto tuu na baba ana best interest at heart.

Usidanganyike na de libolo la boifrend wako ohh utakuja kulilia kwa choo. We men are dogs, forget the pretenders. Mchepuko atakuwa nao na varangati kibao zitakuwepo so usijidai kichwa ngumu mbele ya wazazi. Utaolewa tuu wala usipate presha. Wengi wao humu hasa wanawake wanakuonea gele tuu kwamba u have a father that cares and cherish u. Usifuate ushauri wao.

Narudia tena usijidanganye kubeba mimba utakuja kujuta.
 
kabisa halafu hana adabu kumwambia mwanae sawa na kabati duuuuh! tatzo la watoto wa kibongo kuogopa maisha utaletewa mchumba kisa baba kasema, kama umemuelewa njemba wako amsha ndugu watakua wanao
 
Million 10 alafu baada ya mwaka mkibwagana watairudisha au itakuaje?

Wanakuuza mazima hio si Biashara kabisa yaan ukienda umeenda au mimi nimewaelewa vibaya?

Ndio maana Jamaa wengine wakishaua na wao wanachukua maamuzi ya kujiua nishajua tatizo linaanzia wapi kumbe tatizo ni wazazi, umelipishwa mimahari mikubwa alafu mtu unakaa nae ndani analianzisha mnavurugana mara anaganda muachane unaanza kuwaza ile 10M si bora ningeenda kigamboni nikachukua plot sehemu nijenge

Haya ni mawazo yangu binafsi yasikuchanganye kichwa ila wazazi wako mleta mada watakua na shida pahala wanataka uzeekee kwenu usiolewe na yoyote mentality zao zinawaambia mapenzi ni utajiri na sio umasikini

Endelea kutafuta matajiri wenzio

Pro J ft J Nature - Zali la Mentali

Ntarudi tena baadae...
 
Umuhimu wa DINI YA KIISLAM unazidi kuonekana.
MAHALI NI HAKI YA ANAYEOLEWA NA HUTAMKWA AU HUTAJWA NA YULE ANAYEOLEWA NA SI WAZAZI WAKE.
Licha ya hivyo mkuu,na imesisitizwa iwe ndogo ili watu wafunge ndoa na kuachana na machafu.

Sasa huyo Mzee hapo, Kwa kutaka mahari kubwa, anamzuia binti kuolewa na matokeo yake akizini Baba atawajibika pia Kwa hayo madhambi.

Kwako binti nakushauri kama walivyosema wengine tafuta watu ambao Baba yako anawaheshimu na waongee nae.

Ila usifanye maamuzi ya kuolewa bila kuwashirikisha wazazi wako, kuna Leo na kesho, pamoja na matatizo ya wazazi wako lakini wataendelea kuwa wazazi Tu.

Kila la kheri
 
Haya ndio maneno ya watu wenye busara. Matatizo tunaleta kwa kutaka kuoa watu ambao sio level zetu.

Tuache ujinga hapa oh sijui tumependana. Hamna kitu kma hicho watu wapo kwenye ndoa kupata huduma period.
 

Mtaachana lini kutumia maandiko vibaya!?
 
unataka pesa mingi tena kwa kelele mbele ya mkweo anaenda kutafuta hela anamchukua maana ukumbuke ushammbadilisha akili ulivomtolea nnje anamuangalia mwanao kama bidhaa
Huu ni mtizano wakifalaaa sana. Yaani mzazi amuone mtoto wake kama bidhaa...toka lini? Ingekuwa hivyo sii amngeshamtomber yeye mwenyewe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu umeuelewa Uzi lakini? Analalamika hapa ni Dada kuwa wazazi wake wamempangia mahari kubwa mpenzi wake sasa yeye anaona hicho ni kitendo Cha kumkomoa ili asiolewe
Mahari kubwa ndio mahari kiasi gani? Ona kulingana na level zako,kama huwezi kulipa unapotezea au lipa kiasi kingine utaendelea kulipa mdogo mdogo..

Hakunaga mahali kubwa Wala ndogo.
 
kabisa halafu hana adabu kumwambia mwanae sawa na kabati duuuuh! tatzo la watoto wa kibongo kuogopa maisha utaletewa mchumba kisa baba kasema,,,,,kama umemuelewa njemba wako amsha ndugu watakua wanao

Kuna Kila dalili huyo Mzee ni mtata.
Ukiona mtu anajiapiza Mara nikifa usikanyage kaburini au wewe sio mwanangu Kwa mambo ya hivyohivyo Kaa nae Kwa umakini.
 
Bahati mbaya nadhani sio Muislamu
 
Hujalazimishwa hutak acha..

Hakuna mtu anataka maskini,kama unazo toa kama huna pita kule au kaoe dada yako bila mahari
 
Mzee ni tajiri sana kwahiyo hizo 3m anaona ndogo. Itakuwa ni wale wazee wenye akili za kuuza mabinti wao.
 

kwa io imeandikwa baba akuchagulie mume..Kama huna ushauri tulia
Nionyeshe ni wapi iliandikwa baba anaweza kukutafutia mume..Tumieni vizur maandiko sio kupotosha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…