Wazazi wamkataa mchumba wangu kisa mahari ni ndogo

Wavulana naona mnatokwa povu ila hakuna mzazi anayefurahia mwanae kuolewa na mwanaume asiye na kipato. Subirini nanyi muwe baba mtafanya the same.
Kumbe unajitoaga ufahamu tuu lakini una miakili mingi
 
Sijui kama atakuelewa sababu anaonesha ana kichwa kibovu
 
kwa io wew utaozesha kwa 100M?
 
Hapa tunazungumzia suala la MAHARI, na usitutoe kwenye ajenda husika kwa kuja na hoja na mifano ya kitoto isiyokuwa na kichwa wala miguu.

Narudia tena kusema, katika suala la ndoa, baba amepewa mamlaka yote ya kuamua kiwango cha mahari ya binti yake.

Tena baba amepewa uhuru wa kumkubali au kumkataa mchumba wa binti yake. Katika hali kama hii, mtoto anapaswa kuwa MTIIFU kwa wazazi wake. Hapa hakuna mjadala.
 
ufanye ivo kwa binti zako
 
Ndo nyie mnaokufa kwa kukosa maarifa!! Endelea kukaza hilo fuvu
Leta hilo andiko linalosema wazazi kuwachaguliwa watoto wachumba
 
Nasikitika kusema kuwa baba yako hana ubaba ndani yake.

Wewe siyo mfugo wake kwamba anataka faida kutoka kwako.

Pia ikumbukwe kwamba ndoa ni conset ya muolewaji na muoaji. Kama baba hana ubinadamu that way, is better even not to visit his kaburi kwa sababu yeye hajawahi kumlipa Mungu kwa pumzi yake anayovuta kila siku.

Baba ametoa boko
 
Kwa nini wazazi wakatae heshima kubwa kama hiyo?

Kuna jambo moja unaweza lifanya kama kweli una hakika na mchumba wako. Ni gumu ila litatengeneza njia. Kaeni chini mukubaliane, beba mimba yake na nyumbani ukiulizwa sema ni ya huyo jamaa walemuona maskini.

Baba ataitisha kikao cha kwanza cha sendoff haraka sana na kusahau yote.
Kuna nyakati ili utengeneze yakupasa uharibu kwanza.
 
Muoaji akopeshwe mke ,mzee atalipwa baadae baada ya mavuno
 
Kiukweli mzee wako kitendo alichonifanyia si cha kiungwana, ila upendo uliounyesha kwangu kwa kweli sina cha kusema,, bado nakupenda pamoja na kashfa za mzee wako,,
 
umeulizwa wewe ulioa na mahari ya shilingi ngapi?

whats up with all this utumbo ulioandika?
 
We ulioa kwa mahali gan mkuu..Samahan lkn
Huwezi kuwajibu wanajf wote utajipa stesi,ushauri wangu nenda kwa wazee wa kidini au kimila waeleze tatizo lako wao watawashauri wazazi wako.

Wazazi ni binadamu kama ww sometimes wanakosea kama ww usiwahukumu kwa makosa yao

Hapa jf utaambulia tu kejeli na dharau kwa familia yako.
 
Thank you more...
 
Penye miti hapana wajenzi! Mimi binti yangu alitoa mahari sawa na shs 21,000 tu za kitanzania. Kwani nauza mtu? Mzee mwenzangu hapo amepotoka maana mtoto kupata mchumba ni shughuli pevu, ila kupata wa kutafuna wapo wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…