Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

Beatrice Sumari

New Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1
Reaction score
18
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.

Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
 
Rudi nyumbani ikiwa hapo ulipo ni wapo behinds na mshahara wako wa miezi hio 5. Utakaporudi nyumbani usirudi kama upo vacation ila jipange upya na kutafuta ajira mpya.
 
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.

Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?

Wazazi wako sawa kabisa. 5 month bila mshahara ni crisis, ni kama vile umefukuzwa kazi. Jiongeze
 
mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
RUDI NYUMBANI KWENU HUJAUA, utapata sehemu nyingine kwani lazima hapo? Au unahitaji Wana JF tukuchangie na nauli ya kurudi? Km hivyo weka namba upokee miamala urudi nyumban, kwenu haujaua rudi kwenu
 
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.

Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Unaishi Arusha sehemu gani mama njoo pm me pia Nina rika lako tu jinsia me sio mbaya nikiwasaidia wazazi wako kwa mambo madogo madogo
 
WAMBIE WAZAZI WAKUPE MTAJI. ANZ HATA ONLINE BUSINESS.

kurudi nyumbani sio vizuri.. utawasononesha wazazi zaidi ya sasa.
 
Unapambana vipi wakati haulipwi mshahara?.rudisha mpira kwa kipa uanze upya.
Unapoelekea utakuja kudanga.
Rudi ujipange ukifanikiwa unatoka tena.ndio maisha yalivyo
 
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌"""Kama uko tayari kuolewa njoo inbox"""
 
Back
Top Bottom