Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa mwanaume ningekukwambia ukazeMimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Ndio hao wanakuja kuzalia nyumbani msaidie hukohuko alipo na hata msaada wenyewe usiwe wa 100% mengine ajiongeze, sio kuja kumkumbatia home hato jifunzaNilisahau kukwambia toka mchana kuwa Rudi nyumbani kajipange upya.
Mimi kama mama siwezi mwacha Binti yangu akiwa katika mazingira kama yako
Kwamba hapo alipo Ni sealedVipi akiwa dada yako ungeweza kumshauri hivyo?
Stress za ndoa akirud home ..kumwangalia baba yake amjifunga taulo sio pw kwa age yakeNilisahau kukwambia toka mchana kuwa Rudi nyumbani kajipange upya.
Mimi kama mama siwezi mwacha Binti yangu akiwa katika mazingira kama yako
Cha msingi,angalia hari halisi,wewe kuomba pesa nyumbani,Kuna madhara yoyote ya kiuchumi unaweza kuwasababishia wazee wako?maana kama wazee walikuwa watymishi tu wa mshahara,dsraja la kati,harafu unawakamua pesa ya kujikimu,na kama hata kukusomesha walikuwa Wana hassle sana,basi ni Bora upambane mwenyewe,ikishindikana rudisha Mpira kwa kipa,ujipange kwanza,Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Kwamba hapo alipo Ni sealed
Hata ww piaHilo swali unaweza kumuuliza dada yako?
Bila shaka maeneoa ya katikati ya mapaja yatakuwa na Hali, samahani sjui nilitaka kusemaje dah
Ushaur wangu rud nyumbani hapo syo sehemu salama kwako hasa kwa jinsia yako
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
KugawaUendelee kupambana nini sasa
Acha udhalilishaji!Bila shaka maeneoa ya katikati ya mapaja yatakuwa na Hali, samahani sjui nilitaka kusemaje dah
Ushaur wangu rud nyumbani hapo syo sehemu salama kwako hasa kwa jinsia yako
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hata ww pia
Ww ni yule dada wa Tabata??Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.