Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

HAKUNA MZAZI anayependa mwanae ateseke.ndo maana wamemwambia arudi nyumbani.na huo ndio uamuzi sahihi.tena ukumbuke huyu ni mtoto wa kike majaribu mengi.angekuwa wa kiume hapo sawa
WAMBIE WAZAZI WAKUPE MTAJI. ANZ HATA ONLINE BUSINESS.

kurudi nyumbani sio vizuri.. utawasononesha wazazi zaidi ya sasa.
 
Rudi home, lakini pia tafakari kwa umri huo unapaswa kuwa ushaolewa au ndio wakaribia olewa
 
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.

Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Rudi nyumbani au njoo kwangu Arusha , Kisongo
 
HAKUNA MZAZI anayependa mwanae ateseke.ndo maana wamemwambia arudi nyumbani.na huo ndio uamuzi sahihi.tena ukumbuke huyu ni mtoto wa kike majaribu mengi.angekuwa wa kiume hapo sawa
Wakiume sawa ety......😜😜😜 Akuje aolewe huku
 
HAKUNA MZAZI anayependa mwanae ateseke.ndo maana wamemwambia arudi nyumbani.na huo ndio uamuzi sahihi.tena ukumbuke huyu ni mtoto wa kike majaribu mengi.angekuwa wa kiume hapo sawa
Hii hapana..wacheni watoto wa kike wapambane sana.
 
Endelea tu siku wakikulipa arrears utakuwa na mpunga mwingi ,endelea na kazi huku ukikopa kwa wazazi.
 
Nilisahau kukwambia toka mchana kuwa Rudi nyumbani kajipange upya.
Mimi kama mama siwezi mwacha Binti yangu akiwa katika mazingira kama yako
 
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.

Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Upo mkoa gani?
 
Miezi mitano bila Salary? Unapambania nini?

Watu Tunafanya kazi ili tupate pesa itakayotumika kuleta mahitaji muhimu. Sasa Hapo ulipo ni kinyume Haina maana ya ww kufanya kazi.

Mm nilipitia Hali Kama yako Ila nilikaza, Mambo yalikaa sawa nikaja kulipwa malimbikizo yote ya nyuma.

Tatizo ww ni mtoto wa kike, sidhani Kama utaweza kuhimili vishawishi.

Nakushauri Rudi Nyumbani.
 
hizi ndoa za mitandaoni uwa hazidumu.kwanza NI kama unabet sababu haujamuona.usipompenda utamuoa?
🤣🤣🤣🤣🤣 Si hatuna hiyo option labda mtoto wa kike.. hiyo usipo mpenda ipo kwake sio kwa sie🤣🤣😜😜😜😜
 
Miezi mitano bila Salary? Unapambania nini?

Watu Tunafanya kazi ili tupate pesa itakayotumika kuleta mahitaji muhimu. Sasa Hapo ulipo ni kinyume Haina maana ya ww kufanya kazi.

Mm nilipitia Hali Kama yako Ila nilikaza, Mambo yalikaa sawa nikaja kulipwa malimbikizo yote ya nyuma.

Tatizo ww ni mtoto wa kike, sidhani Kama utaweza kuhimili vishawishi.

Nakushauri Rudi Nyumbani.
Mtoto wakike hawez kuhimili kwa mwendo huu wa speed ya difenda 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom