Beatrice Sumari
New Member
- Nov 14, 2022
- 1
- 18
Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
RUDI NYUMBANI KWENU HUJAUA, utapata sehemu nyingine kwani lazima hapo? Au unahitaji Wana JF tukuchangie na nauli ya kurudi? Km hivyo weka namba upokee miamala urudi nyumban, kwenu haujaua rudi kwenumnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Unaishi Arusha sehemu gani mama njoo pm me pia Nina rika lako tu jinsia me sio mbaya nikiwasaidia wazazi wako kwa mambo madogo madogoMimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.