mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
WAMBIE WAZAZI WAKUPE MTAJI. ANZ HATA ONLINE BUSINESS.
kurudi nyumbani sio vizuri.. utawasononesha wazazi zaidi ya sasa.
Rudi nyumbani au njoo kwangu Arusha , KisongoMimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Wakiume sawa ety......😜😜😜 Akuje aolewe hukuHAKUNA MZAZI anayependa mwanae ateseke.ndo maana wamemwambia arudi nyumbani.na huo ndio uamuzi sahihi.tena ukumbuke huyu ni mtoto wa kike majaribu mengi.angekuwa wa kiume hapo sawa
Watu ka 8 hivi washapeleka barua🤣🤣🤣🤣🤣🥱🥱🥱Rudi home, lakini pia tafakari kwa umri huo unapaswa kuwa ushaolewa au ndio wakaribia olewa
Hii hapana..wacheni watoto wa kike wapambane sana.HAKUNA MZAZI anayependa mwanae ateseke.ndo maana wamemwambia arudi nyumbani.na huo ndio uamuzi sahihi.tena ukumbuke huyu ni mtoto wa kike majaribu mengi.angekuwa wa kiume hapo sawa
Hii hapana..wacheni watoto wa kike wapambane sana.
Upo mkoa gani?Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano.
Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi ili niweze kujikimu mahitaji ya msingi kama chakula na kodi. Wazazi wangu wamechoshwa na mimi kuomba omba hela, mnishauri nirudi nyumbani kula ugali wa baba na mama au niendelee kupambana?
Wakiume sawa ety......[emoji12][emoji12][emoji12] Akuje aolewe huku
Unapambana vipi wakati haulipwi mshahara?.rudisha mpira kwa kipa uanze upya.
Unapoelekea utakuja kudanga.
Rudi ujipange ukifanikiwa unatoka tena.ndio maisha yalivyo
🤣🤣🤣🤣🤣 Si hatuna hiyo option labda mtoto wa kike.. hiyo usipo mpenda ipo kwake sio kwa sie🤣🤣😜😜😜😜hizi ndoa za mitandaoni uwa hazidumu.kwanza NI kama unabet sababu haujamuona.usipompenda utamuoa?
Mtoto wakike hawez kuhimili kwa mwendo huu wa speed ya difenda 🤣🤣🤣Miezi mitano bila Salary? Unapambania nini?
Watu Tunafanya kazi ili tupate pesa itakayotumika kuleta mahitaji muhimu. Sasa Hapo ulipo ni kinyume Haina maana ya ww kufanya kazi.
Mm nilipitia Hali Kama yako Ila nilikaza, Mambo yalikaa sawa nikaja kulipwa malimbikizo yote ya nyuma.
Tatizo ww ni mtoto wa kike, sidhani Kama utaweza kuhimili vishawishi.
Nakushauri Rudi Nyumbani.
Mbususu si ipo
Yaaah make her alive.....🤣🤣🤣🤣Njoo kwangu
Hana🤣🤣🤣 kama anaye basi kamuacha chuo mwaka wa kwanza.....Boyfriend anasemaje?