Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

Huo ni uonevu,unyanyasaji na ukatili mkubwa,washitaki hao watu.
 
dada, anzisha uzi mwingne sasahvi uulize ni namna gani ufanye ili ulipwe mshahara wako wa miezi 5!
 
Rudi nyumbani upesi sana kama hupendi kuliwa kimasihara kisa umekosa 500 ya chai, wazazi wako wanakupenda sana hongera binti.
 
Ushauri wangu kwako ni huu,ukirudi nyumbani utawapa wazazi amani huko ulipo,huna mshahara,mtoto wa kike unawapa mateso makali sana.SO GO HOME and if ALL is WELL GET another JOB somewhere else.KUFANYA kAZI mahali kwa miezi mitano bila mshahara na kuona ni kawaida ni dalili ya ugonjwa wa akili na ukichaa.
 
dada, anzisha uzi mwingne sasahvi uulize ni namna gani ufanye ili ulipwe mshahara wako wa miezi 5!

Je Kama alikuwa anajitolea tuušŸ˜‚šŸ˜‚
Kama anamkataba itakuwa rahisi zaidi kusaidika.
Lakini kama aliomba kazi kama Volunteer hapo kazi anayo.

Muhimu arudi nyumbani, kama nyumbani anaona jau basi aangalie maisha yake Kwa kuenda kuishi na mchumba wake huku akitafuta nafasi ya kazi au kujiajiri.

Mambo yamebadilika Sana.
 
Nitumie CV yako pm
 
Pole sana, changamoto ni nyingi sababu ya kuchelewa kulipa mishahara ni nini, hatua gani zinachukuliwa kutatua changamoto, mnapofanya kazi Kuna kitu mnazalisha??
 
Samahani,hivi huwa mnawezaje kuishi na kufanya kazi bila ya kulipwa mshahara kwa miezi hiyo yote mitano!!?
Mimi naona Hilo jambo ni gumu Sana.
 
resign, kisha nenda cma fungua kesi ya kuachishwa kazi. kitendo cha kutokulipwq mshahara miez 5 ,kinapelekea kitu inaitwa constructive termination, ambapo hata kama ni wewe umeamua kuacha kazi basi itachukuliwa mwajri ndio amesababisha wewe kuacha kazi( but you have to prove beyond reasonable doubt)
 
Ok, ni vizuri kutafakari kwanini hawalipi miezo yote hiyo? Na je wataanza kulipa lini?

1. Unaweza kurud nyumbani kujipanga upya...hapa utakuwa umerudi nyuma haswa lakini mara nyingine sio mbaya kujipanga upya.

2. Au uangalie namna nyingine aidha kuanzisha biashara ndogo (kama una mtaji na unakitu uanpenda kufanya) au kutafuta ajira sehemu nyingine japo kupata ni changamoto.
 

Kwanza ungetuambia kwa nini ulipwi mshahala inawezekana boss wako kayumba kiuchumi

Kma mwanzon alikiwa anakulipa bila shida halafu ghafra akulipi na bila sababu bac rudi home kale bure

Lkin kma boss wako nae yuko na changamoto za kipato na bado anakuhitaji kaanae chini mjue nini mfanye
 
Kwa umri huo don't go back home.. Usirudishe majesh nyuma
 
Nakuja arusha wiki hii tukutane hapo Phillips
 
pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…