Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

Xtra Thinking

Member
Joined
Jun 3, 2025
Posts
39
Reaction score
84
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.

Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.

Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu

Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.

Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"

Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha

Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.

Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?

Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au

Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
 
Twende mbele au turudi nyuma
Amani ya kweli ni pale ukiwa pekeyako...napenda kuwa pekeyangu
Nikiamka asubuhi nitamsalimu nitakayemwona tu basi,siendi kwa jirani yeyote labda kuwe na tukio.
Ila nikikutana na mtu moyo umefunguka kwake,basi hizo story na vicheko atajuta kunifahamu 🤒
 
Hii naweza nikaitafsiri kwamba wazazi wako hawakujui na hawafahamu kabisa hatua zako kwenye mabadiliko ya kukua kwako.
Hali kama hizi hutokana na wazazi kutunza watoto wao na kusahau kuwalea watoto wao
 
Kuna uwezekano makuzi yake yote amekulia boarding schools, hii imesababisha washindwe kumfahamu kwa kina. Kiufupi dogo ni introvert ila wao wanaona ni kama hana muelekeo hivii
 
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.

Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.

Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu

Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.

Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"

Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha

Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.

Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?

Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au

Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Hama hapo kwa wazazi, ukiwa unaishi mwenyewe hakuna wa kukupangia huishi vipi
 
Vitoto vya buku mbili bhn sasa huon wazaz wanakupenda sana. Wazaz wanajua ukikaa mwenyew huko utakula sana nyeto mwishowe ushindwe kuzalisha fala wewe.
Too late, nilisoma uboizini. Nimekula nyeto sana, hadi nikapoteza hisia na mademu.
Nimekaa nalo moyoni nimeshindwa nikamwambia mzee wangu kwamba siku hizi erection zangu hazipo vizuri kwa sababu ya masturbation. Ikabidi tutafute dawa, nikapata Ginsomin ambazo dokta alisema zitarudisha erection yangu vizuri
Well, hazijafanya kazi hizo dawa, so now nasubiria niende University maana huku nilipo hospitali kubwa kubwa hakuna. Nataka nikienda kusoma chuo kwenye mji mkubwa nitaenda hospitali kubwa. Maybe nitakutana na wataalamu wa kunisaidia

Ila suala la nyeto halihusiani kabisa na mimi kutojichanganya. Nimeanza kuacha kujichanganya kabla hata sijaijua nyeto
 
Back
Top Bottom