Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

Miaka 19 umejieleza vizuri kweli, hongera.

Wazazi wanaogopa usije kujiunga na vikindi vya kigaidi huko mitandaoni.
 
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.

Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.

Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu

Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.

Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"

Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha

Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.

Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?

Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au

Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Haupo peke yako dizaini hiyo mkuu wanaita INTROVERT. Jitahidi kutoka huko kama wazazi wako wanavyokuambia Watu ndio Maisha Usipendelee hiyo hali ikikomaa itakuwa ni disaster.
 
Hiyo hali ni hatari sana kwako na kwake. Moja tayari umeanza kusema viatarishi... Sitarudi tena nyumbani....najitenga nao.....erection disfuctioning.... Vyote hivi ni viatarishi Kwa kukaa mwenyewe. Vinaweza pelekea maamuzi mabaya kwako au ndugu na wazazi.

Anza kukaa na watu ongea na dada wa KAZI, ongea na vijana majirani, nenda jumuiya au kanisani mara Kwa mara. Kama una interest nenda hata kaimbe kwaya, jifunze music and music instruments, Fanya jogging au nenda gym Fanya zoezi especially aerobics etc. Jifunze kitu kipya kabisa nje ya unachotaka kusoma chuo kikuu. Hii itafungua sehemu kubwa ya hali Yako ya kukaa kimya mwenyewe.

Kama upo Dar naweza kukusaidia but talk to your familia unataka kufanya lipi
 
Umri wako mm teyari nina mtoto . Nilikuwa kijana machachali, mtundu, kila siku skendo, nimeshakaa sana police.
 
Wanahisi una stress na ndio ukweli
Wanakuambia ukae na wenzako ili upate kujiamini na kuwa mtu badala ya mnyama (socialization is a part of human nature)
Kujichua kwa muda mrefu na shida ya erection inakusababisha ukose kujiamini. Jitahidi ujichanganye
Jiunge na masomo hata ya dini kwa wakristo , bible study,fellowship na maombi, waroma hudhuria misa za alfajiri kila siku. Kwa waislamu jiunge na madrasa iliyo karibu
Kama sio mpenzi wa hayo tafuta maeneo ya kufanya mazoezi kama boxing, judo,karate au michezo mingine ya saa za mapigano ukishindwa beba mavyuma utengeneze mwili mtoto wa kiume
Piga push up kwa kuanzia 50
Hapo nyumbani kuna house girl?
Nitaendelea ukijibu
Yupo Housegirl, nilipoanza tu form 1 boarding akaletwa housegirl hapa ndio yupo hadi leo. Nilipomaliza advance nimerudi nimekuta ana mimba, ingawa hatujamrudisha naona wazazi wameamua kumsaidia kulea ujauzito wake maana uchumi kwao sio mzuri halafu ametusaidia kazi nyingi hapa home
 
Tafuta dem uwe unatomba. Kula bangi na pombe, ila kiasi . Kuwa muhuni muhuni
Ngumu kujiamini wakati nishajiharibu na masturbation. Sikuhizi erection ziko weak. Tangu nimeacha masturbation haujafika hata mwezi na hali sio nzuri bado. Napaswa kutafuta tiba kwanza
 
Ni watu wa kawaida tu, hawajashika sana dini. Mama muislam baba ni mkristo na wote sio wafia dini. Muda mwingi wapo aidha kazini au nyumbani. Sio watu wa kutoka out au nini
Weekend wanakesha nyumbani na familia
Nimepua angalau, nilidhani mwangu tumekutana JF, hapo kwenye dini ndio kidogo vimepishana ila mwingine dah! yaani Uzi huu, basi nimeamini coincidence is really!
 
Yupo Housegirl, nilipoanza tu form 1 boarding akaletwa housegirl hapa ndio yupo hadi leo. Nilipomaliza advance nimerudi nimekuta ana mimba, ingawa hatujamrudisha naona wazazi wameamua kumsaidia kulea ujauzito wake maana uchumi kwao sio mzuri halafu ametusaidia kazi nyingi hapa home
Je una demu?
 
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa.

Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu.

Wananilazimisha nijichanganye na watu halafu binafsi sipendi. Napenda niwe peke yangu na muda mwingi nipo chumbani kwangu

Nakereka sana, wazazi wakirudi toka kazini wakifika tu nyumbani kitu cha kwanza ni kuniita na kunilazimisha kukaa sebuleni na familia. Mara nyingi hata nikikaa sebuleni wananiona nimekaa sina furaha, wanaanza kuniuluza mbona huongei? Mimi sina cha kuwajibu sijui sababu, wao wanalalamika kwa sababu wanadai zamani sikuwa hivi.

Kuna maneno yao wanaongea sometimes yananiumiza, mfano wananiongelea wanasema "Huyu mtoto sijui tumfanyeje, tumetumia kila mbinu tumeshindwa. Hivi maisha yako baadaye utaishije ikiwa hujichanganyi na watu?". Wakiniambia hivi huwa nakaa tu kimya ila moyoni huwa nawajibu "kwa nini mnawaza kuhusu maisha yangu ya mbeleni, si mniache tu nitajua mwenyewe"

Licha ya wao kujua kuwa mada yao ya kunilazimisha nijichanganye na watu siipendi lakini hawachoki kuianzisha wakikaa na mimi, kila siki wananikasirisha na hii mada. Sometimes wanazidi hadi nawajibu vibaya kwa hasira, halafu najishtukia kuwa nimekosea kuwajibu hivyo. Naonekana sina maadili ila ukweli ni kwamba wao ndio wananikasirisha

Hata sasahivi naandika hivi ila wametoka kuniita na kuniambia nikae sebuleni. Nimekaa nao dakika chache tu nikanyanyuka nimerudi zangu chumbani, sijisikii vyema kukaa na watu wengi.

Natamani muda wa chuo ufike niende chuo maana maeneo kama shuleni watu hawaniulizi sana kwa nini najitenga. Muda mwingi hawaongei na mimi na hivyo ndio nilikuwa najisikia amani
Kwani upi ni uamuzi wa busara?

Nifuate furaha yangu, niendelee kukaa peke yangu.. au

Nijichanganye na watu kufurahisha wazazi, wakati mimi moyoni sipendi?
Bado uko kwenye balehe. Ikiisha utawaelewa
 
Vitoto vya buku mbili bhn sasa huon wazaz wanakupenda sana. Wazaz wanajua ukikaa mwenyew huko utakula sana nyeto mwishowe ushindwe kuzalisha fala wewe.
Hii itagusa wengi, nyeto na upekee ni pete na kidole😃😃😃😃😃😃.
 
Ila kuwa na elimu raha, imagine mada hii ingeandikwa na Dotto Magari.

WASOMI HI😂😂😂😂.
 
Wewe mtoto huna adabu ulidhani na huku sipo? Kumbe unajifungia chumbani kutusimanga wazazi wako?, kesho uhame kwangu😂(joke).

Hili ni tatizo linalozisumbua jamii na familia nyingi za kiafrika kwa kushindwa kutambua personality ya watoto wao, kwa baadhi ambao wako tofauti na mitazamo ya kijamii huonekana kero/wahuni/viburi/wagonjwa/wadhambi/wana misongo ya mawazo, kumbe si kweli.

Kuna umuhimu wa serikali kutoa elimu hii kwa wazazi na walezi wajue suala la UTU wa mtu ni lake binafsi wala halilazimishwi kuwa kulingana na jamii inavyotaka, bali kulijenga liwe linavyopaswa kuwa, tunaangamiza familia zetu sababu ya kukosekana malezi sahihi kwa watoto.

Siku moja moja tafuta mtaalamu wa masuala ya saikolojia na personality kiujumla azungumze na wazazi wako, najua wataelewa na kukuacha ulivyo, sio kosa lako bali lao kushindwa kukitambua kilichomo ndani yako.

wewe ni Introvert one, huhitaji kuubadilisha UTU wako ili kuishi maisha ya kuwafuraisha watu, kwa kufanya hayo wanayoyataka utaziumiza hisia zako na uhalisia wako, ishi kulingana na wewe mwenyewe si wao wanavyotaka.
 
Ila kuwa na elimu raha, imagine mada hii ingeandikwa na Dotto Magari.

WASOMI HI😂😂😂😂.
Au yule mkimbizi wa kondegang aliyeandika ''kakakondenajuaumenisaidiavingi rakinihatamimininandoto zangukamakijana hanahetafutaherazakuwasahidiawengine" 😂
 
Back
Top Bottom