Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

hapo ndipo walipotuacha wenzetu ,mimi nilishagutuka muda sanaa nilianza ufugaji wa wanyama wadogo mbali na ndege kuku na wengineo nimetengeneza kama zoo flani hivi home nimewazoeza wanangu kufuga mifugo mbali mbali na napenda wateja wanapokuwa wanakuja kununua huwa nataka wawepo wakati na pokea hela,mwanzoni waliona tabu kidogo kidogo wakanzaa zoea na kuwalisha hata kama sipo sasa nimegawa mabanda nimewapa mifugo yao wasimamie wenyewe na inaenda fresh huwezi amini uniform na madaftari yao ya mwaka huu wamejinunulia wenyewe kwa kuuza mifugo yao mimi nawaongoza tu.naona kuna kitu wanagain kwenye real life
 
[emoji239][emoji239][emoji239][emoji239][emoji239]
 
Kwamba wazanzibar wengi wameolewa arabuni na matajiri wa visima vya mafuta,hayo mafuta huko arabuni yanachimbwa na kila mtu na si serikali!?..kwamba wanaume wa kizanzibar wamekosa wake wazanzibar kuoa maana wengi wameolewa arabuni!?..kwamba kazi za smz zimechukuliwa na wabara Kisha kazi chache Bara wamewapa wazanzibar!?..kichwani ubongo au utoko!?
 
mzazi mwenyewe kapigika ataweza kumuwezesha mwanae kiuchumi? faida ya kuwa na wasomi wengi wasio na kazi ni kuandamana na kufanya vulugu tu hili tulitegemee miaka ijayo mtu kasoma kazi hana anaona watu walioko serikalini wanakuwa matajiri wala awaulizwi huo utajiri wameupata wapi hicho ndio chanzo cha mizozo kati ya watawala na waomi afirika
 
Ni kwel,ukipewa pesa tu kirahis rahis na inaondoka kirahis rahis tu

cHa msingi wazaz waandae ajira kwa watoto wao na sio kuwapatia hela za mitaji
 
huu ndourithi wao wa kesho hata usipokiwepo unakua umewaacbia kitu ambacho kinaweza kuwasimamia hata kama wakikosa kazi za maofisini na maisha yakaenda sasa mtu anakwambia tu muwezesbe mtoto kwakumfungulia biashara ambazo hawezi kuzisimamia jiulize ni familia ngapi zimeondoka zikaacha mali/makampuni ambazo watu wazima na akili zao lakini wameshindwa kuzisimamia zikaishia kuuzwa tu yaani tunasafari ndefu bado ila chamuhimu kubadili mindset zetu kwanza
 
mzazi akiwa na njaa nyumbani kwake watoto awakai wanaodoka wenyewe
 
Kweli kabisa mkuu.Ila wazazi nao wanatakiwa wainuka kuwasaidia wanao mpaka pale watakapojimudu wenyewe.Na wakishaimarika kiuchumi hawataacha kurudisha mkono kwa wazazi.
wazazi walio wengi ni masikini wengi wlidhani wakisha somesha watoto umasikini umeishi kumbe sivio mtoto anamliza mashomo kisha analudi nyumbani kula ugali na kutazama tv
 
Kuna uzi nilichangia kama mzazi tena babu pia kuwa nilianza zamani sana kuwawekea watoto wangu hela bank.

Tangu wangali wadogo sana kila mwezi nawawekea kiasi na mpaka sasa kuna mmoja hajafika hata 10 ana za kutosha ila hagusi mpaka afike 18

Nilibezwa na mtu kama ananijua ila nikajisemea tu atakuwa hana upeo na umasikini tu

Kusubiri sasa mzee akupe hela hawezi kwa sababu huenda hana lakini mjifunze kuwawekea bank tangu wadogo hata Uni hawezi kukusumbua wala hatahitaji mkopo bali zitakuwa bank zikimsubiri au atasoma au atafungua biashara au ataenda majuu ni uamuzi wake

Wapo watakao ona ni vigumu lakini hata ulaya kuna nchi serikali inachangia kiasi kukupa moyo ili mtoto asipate shida ukubwani
 
Kwa nn hawa wazanzibar wanajikuta special sana 🤔
 
Mkuu umefanya Jambo la maana Sana na lenye tija.Hongera zako mkuu.
 
Umenena vizuri Sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…