Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

Wazazi wawezesheni watoto wenu kiuchumi

Mkuu kuna watu wabinafsi utafikiri wataishi milele ilhali wanajua kifo kipo karibu sana

Sasa kama una kipato kwanini usiwaandalie watoto maisha mazuri mbeleni?

Mimi sijutii kwani watanishukuru baadae na siwaachii umasikini
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom