Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

Wahehe na wamasai mbona wanasema ni wajeuri sana apart from wasukuma
Mhehe hata awe jeuri vipi hafiki kwa mnyakyusa, kifupi naona wachaga na wahaya wana afadhali kwa mnyakyusa kuanzia ujeuri na umalaya, labda mhaya hatamnyima wa kwao, wanasema wachanga watakudedisha naona Bado uzito mdogo, kuhusu wanyakyusa asilimia kubwa kaka zao ni watu poa sana, nimepata bahati ya kuishi na kufanya kazi vijijini za jamii za wachaga wahaya, masai kaka zao wakorofi sana wakilewa., wahehe nao dada zao si wachoyo sana ukioa wana afadhali,
Kifupi angalia mtu unayemuoa , chunguza , uliza , amua, dunia na imebadilika na jamii zimebadilika Sana kila kabila lina wastaarabu na malaya wa kupindukia
 
Wachaga ... Watakuua
Wahaya.... Wanagawa papuchi sana
Wanyakyusa... Watajazana ndani kwako uwasahau ndugu zako...
Wapareee...watakupiga juju..
Usibishane na wazazi wako wewe
 
wazazi wetu waliona mbali sana
 
Kweli mkuuu...Sasa Wewe umeambiwa na Mama yako...unakuja kudhani wazazi wote wanawaza.kama.mama.yako...

Uwe unatumia Akili kidunchu tu..kabla hijadhirishisha ufinyu wa medula yako
itakuwa wewe mkeo au mama yako au wew2e mwenyewe ni mmoja wa ayo makabila
 
Daah kweli Mwl. Nyerere hakukosea kupinga ubaguzi wa aina yeyote kwa nguvu kubwa na kulazimisha lugha ya kiswahili ituunganishe wote.

Hapa unakuta kuna makabila yanajiona ni superior kumbe ni superior katika dhaifu.

Kwa mambo haya ya kubaguana basi unakuta wahindi na waarabu huko wanatuweka katika mwavuli mmoja wa "waswahili " na wanakataa kabisa kuoa waswahili.

Na ukija kwa wazungu sasa ndio hali ni mbaya zaidi , tunaitwa watu weusi.

Kujiona bora kuliko wengine ni jambo baya Sana kwani huwa likianza linagusa karibia Kila mtu halichagui, one way or another utajikuta unabaguliwa tu.
 
Nani kasema? Wewe oa ufe! Ndgu yangu wa kiume hawezi oa hizi kabila mfyuuuxc! Nani hajui Maarufu jijini. Dr likoko wa temeke kafia kwenye box km jibwa sababu ya haya makabila. Thubutuuuu!
 
yaani km uko mulemule!! Wanakuwa juu vibaya mnooo! Ukipanda unafyekwa mara moja km Jackie Marere kwafyeka wengi wengine walikimbia na bado wanamkimbia jiji zima linamjua.
 
Aiseee sijakuelewa ata kidogo na nimesoma kwa umakin[emoji28]
 
Na ili uwe juu ya mchaga labda uwe na hela ya kuwazidi ukoo mzima, bila hivyo kila december utaenda moshi kutambika kwa mizimu usioijua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
 
wazazi wana uzoefu mkubwa. usijichanganye ukaingia kwenye hayo makabila yanayolalamikiwa ....utajutraa.
 
Umenku
Kuna
Kuna wapangwa uku njombe ni hatari,hata wakinga pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…