Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

Ila maisha ya shule bhana usiwalaumu. Nakumbuka sisi kipindi hicho tunatoka shule, nyanda za juu kusini, yalikuwa yanatufuata mabasi ya Summry, na hekima. Tukitoka shule kama watu vile na nyimbo tunaimba, ishu gari ikifika stand kuu, huwa tunashuka kidogo kutafuta bites,
Hapo ndo kosa, Watu wanarudi na chupa za maji ndani wamejaza viroba tu kuna pombe zilikuwa zinatoka Malaw na Zambia hatari. Ila ni utoto
 
Utoto na pombe wapi na wapi!? Sema nyinyi mlikua mijitu mizima mliojificha ndani ya uniform za uwanafunzi!!
 
Du .........itaje shule tusipeleke watoto hapo.
 
Hiz story huwa zinanifsnya ka moyo kangu kaende faster, nikifikiria inamaana ka binti kangu huko boarding kakianza kujanjaruka kuna njemba itakuwa inakanyemerea ikakule!
Kweli malipo ni hapa hapa, nikiwaza enzi hizo kabla ya WhatsApp na mobile phone, nilivyokuwa nakimbiza vibinti vya watu
 
18+years habakwi anakubali mwenyewe
Mkuu kwenye tafisri za kisheria hakuna kosa linalo itwa kufanya mapenzi bali kuna neno kubaka bila kujali muhathirika ana umri gani.

Tafisri ya neno kufanya mapenzi ni watu wawili walio kubaliana, lakini tafsiri ya kubakwa ni mmoja kati yao amelazimishwa kwa nguvu au kwa shinikizo fulani.
Na ndio maana ukikamatwa na mwanafunzi haushitakiwi kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi bali utashitakiwa kwa ubakaji na ubakaji hauna limit ya umri ya kuwa mtu akifika umri fulani hawezi kubakwa.
 
Kasome sheria ya elimu (education act) section 60 A!! Mwanafunzi anayebakwa ni yule aliye chini ya 18 years!!!

Hao wengine wadangaji butua piga mashine mpaka wajambe
 
Muanzisha Uzi nawe ni JINGA tu kama hao wanafunzi,sasa ulikuwa na haja gani kuanzisha Uzi mreeefu wakati jina la basi eti unaficha,jina la shule eti unaficha,Ili iwaje sasa unafichaficha!!mtu unatumia ID isiyojulikana lakini bado unafichaficha details Ili iwaje?ni vema ungekaa kimya tu kuliko kuanzisha Uzi na kufichaficha details nyingine,acha upimbi
 
THAT IS WHAT YOU SAY,THANK U
 
Ukoo wa panya ni panya tu,angalia mifumo yetu mbali mbali tunavyoiendesha,chukulia tu jinsi uaminifu ulivyomomonyoka hata kwenye ile iliyo msingi wa maendeleo yetu wenyewe,tazama hata vituko vitakavyo tokea ama vinavyoendelea hivi punde.
 
Kwani lazima kuvalishwa mi uniform mkirudi nyumbani? Ujima tu huo. Sisi tulisoma shule zenye nidhamu lakini kipindi mkienda home mnasuka vizuri na mnavaa mnachotaka. Suruali sawa, gauni sawa .
 
Hukusoma boarding wewe!!?
Namshangaa. Hizo ni tabia za wanafunzi wakiwa pamoja. Ndio maana shule nyingi hawawachanganyi wanafunzi na abiria wengine. Sisi tulikuwa tunapewa mabehewa yetu bila kuchangamana na wengine. Kwa hiyo sio jambo jipya. Wakikua wataacha.
 
Reactions: apk
Mambo yao waachie wenyewe...

Bora hao, Kuna wabafunzi wengine wanakula bangi, wanashinda vijiweni...


Cc: Mahondaw
Wako wengi tu. Kuna mtoto wa dada yangu alisoma Islamic school tena shule iko strict, lakini walienda kuiba ng'ombe mtaani na kuchinja wakachoma na kula. Mama yao na baba yao ni watu wa dini, nyumbani hakuna mziki unapigwa, ni mambo ya dini tu. Ila sasa, yeye na mdogo wake wameishia kuwajaza watoto wa watu mimba ingali wote ni wadogo. Haya mambo hayana ujanja.
 
Kasome sheria ya elimu (education act) section 60 A!! Mwanafunzi anayebakwa ni yule aliye chini ya 18 years!!!

Hao wengine wadangaji butua piga mashine mpaka wajambe
Mkuu usicho kielewa ni kitu gani kwenye maelezo yangu?

Hakuna kitu kinacho itwa kubaka mwanafunzi bali kubaka ni kosa la jinai bila kujali ume mbaka nani na ana umri gani.
Na ndio maana ukikamatwa na mwanafunzi kwenye hati yako ya mashitaka haitaandikwa kuwa fulani ametenda kosa la kumbaka mwanafunzi ,bali itaandikwa fulani anashitakiwa kwa kumbaka fulani.
Ukikamatwa na mwanafunzi waendesha mashitaka wa serikali wanacho fanya ni kutengeneza mazingira yatakayo onesha kuwa ulifanya ubakaji kwa kumlazimisha kulala naye,hasa kwa kumshinikiza binti akili mbele ya mahakama kuwa ulimbaka kweli.
Sasa binti akisha iambia mahakama kuwa ulimbaka kweli ,sasa hapa kazi ya mshitakiwa ni kuonesha ushahidi wa kuwa hukumbaka bali mlikubaliana kitu ambacho ngumu kudhibitisha.

Linapo kuja kwenye suala la sheria ya kubaka mwanamke ana nguvu kubwa sana na anaweza kukupozea jera iwapo akiamuwa.
Mfano una demu wako mkakosana ili kukukomoa anaweza kukutengenezea kesi ya kumbaka na ukajikuta kwenye matatizo makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…