Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani sisi tulonayo mawili ni kwamba tunaona umuhimu? Si vile tumezaliwa tukajikuta tulipewa majina mawili?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweee siyo kwa shushu hilo
Sasa mtoa mada si kasema anaongea na wazazi wanaowapa watoto wao majina mawili na siyo watoto waliopewa majina mawili

Siyo vibaya ila kwa kibongobongo naonaga kwa watu wengi haina umuhimu. Labda kwa wenzetu huko.
 
How old are you? Let's start there first.
 
Jina moja Latosha ..sioni umuhimu wa kumpa mtoto jina zaidi ya moja
 
Waulize wahaya Wana majina ya nyumbani Kila muhaya kwa mfano.
Mathias mushumbuzi ishengoma,
Mushumbuzi la nyumbani
Mathias la kwake
Ishengoma la ukoo
Waulize kwanza wahaya.
Mtuache na majina yetu na tunajivunia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…