chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)
MuganyiziNa wewe la nyumbani Nani rutahiwa,rweyendera ,au byakanwa
Muhaya purelyMuganyizi
Hivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa kwa sasa?Upumbavu tu. Jina ni moja tu.
Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli.Hatari sana...
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)
Kuna baadhi ya makabila tumepata pigo sana na huu utaratibu wa majina ya ukoo. Natoa mfano. Ndugu zetu Wachagga wao majina yao hapo hivyo. Kama ni Mushi basi wote huitwa Mushi. Ikiwa jina lako ni John mzazi wako ni Joseph, basi utaitwa John Joseph Mushi. Ndugu zako pia watatumia majina hayo hayo yaani Jina lake, la baba na hilo la ukoo. Kimbembe kinakuja kwenye makabila yetu ambayo hayana utaratibu huo. Kila mtoto hupewa jina lake likifuatia majina ya babu zake wa kiumeni au wa kike. Iwapo wewe unaitwa Joseph Maige Andrea, mwanao anaweza akapewa jina kama John Masinde Joseph lakini nduguye akaitwa Jackson Manyama Joseph. Hao wanao wakienda kuomba Pasi hawapewi kwa vile majina matatu hayafanani na yako na wanatakiwa wakaape upya. Kwa kweli hata mimi nimepata matatizo hayo. Ilifikia hata nikaambiwa nimegushi vyeti vyangu almanusra nitumbuliwe!hii kitu imenicost sana kwenye vyeti vyangu
Kama nikiwa kazini wananiita MEKO ila nikiwa maskani na wana wananiita JIWEHii ni mara ya kwanza kusikia mtu ana majina mawili ya kizungu na yanatumika moja nyumbani na lingine kijamii (shuleni).
Nimezoea kusikia majina ya kikabila ya asili yakitumika nyumbani zaidi, na ya kizungu yakitumika shuleni.
Sijui nia hapo ni nini kwa mfano uliotoa, ila kwa mfano wa pili ndio imezoeleka hivyo.
JIWE na MEKO ndio akina nai hawa mkuu?Kama nikiwa kazini wananiita MEKO ila nikiwa maskani na wana wananiita JIWE
mbowe anaswaga 326m za ruzuku kila mwezi plus michango ya wabunge wa chadema,kujenga ofisi hata yenye ukubwa wa banda la kuku imeshindikana.Muhaya purely
me bar wananiita Ngamia.Sisi wengine tuna majina mawili nyumbani, moja kazini na lingine bar wananiita alteza
Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo.Muhaya purely
Magufuli Mungu amlindw kwa maana anagusa maisha ya watu wanyonge.Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)
Rais Magufuli ni mtu mwema na yupo makini sana.Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)