Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

Ila majina ya kimila ni mazuri sana na yako unique. Yaani ukienda mtaani ukisema tu namuulizia flani unampata bila kuhangaika.
 
Mimi nina majina yangu Manne ninayotumia na ninayapenda mno. Tuligombana kwenye kitambulisho cha taifa mpaka yakabaki manne. Haya mambo ya wazungu au waarabu kwa nini tuyafuate. Vyeti vyangu vyote vina majina manne na hamna mtu wa kuniambia punguza jina hata moja na moja wapoo ndilo nililopewa la utoyto. Na isingekuwa complication ya vyeti ndilo ningeliweka la kwanza Period!
 
Nimelisahau na jina langu la tano la JF- Mwana, nalipenda mno!
 
Binafsi nina majina mawili,wanangu wana majina mawili.....nikizungumza kwa upande wangu hasa nilipobarikiwa mtoto wa kwanza nilimpa jina la nyumbani ili kumpa utambulisho kabla sijapata jina sahihi kwa ajili ya kubatizwa hivyo nadhani wengi hufanya hivyo.
 
Tuna waweka watoto self kwa kazi ata za kiitelejensia baadae mkuu.
 
Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Magufuli hao Wapinzani.
 
Rais Magufuli anatoa funzo kubwa kwa CHADEMA.
 
Ndio Magufuli ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo.
 
Ndio Magufuli ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo.
 
Kila la kheri leteni mgombea atakayempokonya Magufuli hata asilimia tano ya kura.
 
Kwani majina mawili au matatu huwa ni mazito kubeba ama ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
 
Chadema Siasa za kihuni zimepitwa na muda ombeni msamaha kwa Rais Magufuli.
 
Magufuli anaipaisha Dodoma na kuipendezesha.
 
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
 
Tatizo Chadema wanawatesa vijana kwa kuwaambia uwongo kuwa Lissu atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…