Acha kunipa chai jua kali loote hili🤣Unasema tu mkuu..
Nakumbuka wakati niko primary nilianguka kwenye bembea shuleni nikavunjika mkono na hapo nyumbani mzee alikua ananiambia kila siku nisibembee bembea za shuleni ni mbovu sikuskia.. Alivyopigiwa simu akaja kabla ya kufanya chochote akachukua kamba akanifunga mkono usioumia kwenye chuma la bembea nikawa naning'inia alinichapa vibaya mno😭😭😭..
Halafu ndo akanifungua tukaenda hospitali, ile siku nilichekwa sitakaa nisahau 😂😂😂
Aisee ulikuwa una pambania haki yako isi ishe😂🤣Nakumbuka nilivyokuwa mdogo, kuna watu walikuwa wanakuja pale nyumbani kusali na mama(walikuwa na kikundi flani hivi)
Sasa siku moja walikuja usiku tumepika wali nyama, walishtukiza tu sio kawaida yao
Wakati mama anawapakulia nikapeleka kiherehere changu huko jikoni nikaropoka 'sasa mboga itatosha kweli?'
Aisee klichofuata siwezi sahau. Hadi mwiko ulihusika....
Kwamba hizo ni zetu😂🤣Mimi nilishawah katwa na ule upawa wa kupakulia mboga wa chuma kwenye goti kisa kiherehere cha kupambania wageni wasipewe na soda zetu .
Kabisa mkuu .Kwamba hizo ni zetu😂🤣
Adu wageni wa kushitukiza siwa elewagi kabiSa 😂🤣Kabisa mkuu .
no comment mzee, Sio Leo Wala Jana, angalia tareheMkuu kama kuna uzi niliona unaaga unakufa vip tena😁😁
Mzee wako ni mjeshi??😂😂😂Acha kunipa chai jua kali loote hili🤣
Mimi sasa kuna siku tulienda kuwinda ndege, af mzee ashasemaga tusicheze na majirani, kulikua na jiran mmoja tu ndo tulikua tunaenda kucheza hapo, sasa sku hyo huyo rafiki si kapitiwa na wenzake tukafunga safari hadi maporini kuwinda, tume pambana huku na kule mpaka jioni ndo tuna pata ndege mmoja. Hapo mind yangu najua mzee kurudi usiku!
Asee nilipofika home nakuta mmfanyakazi alikua mdada kashachuma mipera ya kutosha sito sahau shoo ya sku hiyo mpk leo. Kesho yake skuli desk langu halikukalika buts zilivimba🤣
Chakula kikitengwa kuna bakuri la baba ,huwa ndio kuna mapaja na nyama nyingi ,ole wako ukaweke mkono huko ...kichapo mpaka baba mwenyewe akupe[emoji23]
Hamna 🤣🤣,Mzee wako ni mjeshi??😂😂😂
Yeah
Walitaka mgeni akija , wakati wa kula na wakati wa mazungumzo baina ya wazazi na mgeni ufutike mazingira ya apo nje.
Hanna nimewaza tu kwa ukali huo atakua mwanajeshi😃Hamna 🤣🤣,
Umesoma ID yangu nini! Ni self employee, ila balaa lake wanajeshi wakasome. Zaman tulikua tukiwa tunacheza, ukisikia tu mlio wa gari unachunguza kama ni yeye anakuja, unaruka fensi fasta kurudi nyumbani.
[emoji16][emoji16]Nakumbuka nilivyokuwa mdogo, kuna watu walikuwa wanakuja pale nyumbani kusali na mama(walikuwa na kikundi flani hivi)
Sasa siku moja walikuja usiku tumepika wali nyama, walishtukiza tu sio kawaida yao
Wakati mama anawapakulia nikapeleka kiherehere changu huko jikoni nikaropoka 'sasa mboga itatosha kweli?'
Aisee klichofuata siwezi sahau. Hadi mwiko ulihusika....
[emoji16][emoji16]Mgeni akija ukamuomba Hela ,unapigwa
Mgeni akija usipo msalimia ,unapigwa
Ukipigwa ukawa haulii ,unapigwa maana unaonekana sugu [emoji23]
Chakula kikitengwa mezani ukaanza kunawa kabla ya wakubwa ...unapigwa
Mgeni akija ukaanza kumlilia uondoke nae ..Unapigwa
Chakula kikitengwa kuna bakuri la baba ,huwa ndio kuna mapaja na nyama nyingi ,ole wako ukaweke mkono huko ...kichapo mpaka baba mwenyewe akupe[emoji23]
Baba akija nyumbani akakuta umekaa kiboya sebuleni ..unapigwa Bila hata sababu..
Ukitumwa dukani ukachelewa ..fimbo ..
Kwenye kabati huwa kuna vyombo vya kutumia siku wageni wakija tu ,siku mama akikuta unatumia hizo sahani au vikombe wakati Hakuna mgeni ..utapigwa fimbo na ngumi juu ,usipokimbia shauri yako
Hawa watoto WA siku hizi wanapelekwa hadi Shule aiseee ...Sisi tunaenda Shule wenyewe na njia tunayopita asubuhi kuna mbwa hatari ,kama huna mbio imekula kwako..na Hakuna njia nyingine [emoji28]
Weeee mtoto asinyimwe fimbo sema ziwe kiasi Kwa ngozi nyeusi Tena Tz zinasaidia mno...mtindo wa malezi imabadilika sana...
mfano,
wakati naishi nyumba za kupanga jirani yangu moja alikua na mtoto wa kiume anasoma chekechea....
sasa yule mtoto akirudi kutoka shule mama yake alimzoesha kumkagua alichofundishwa siku hiyo huko shuleni. Na mtoto nae, alizoea hali hiyo, na kwahivyo alikua akimsomea mama yake picha, michoro ya wanyama na vitu mbalimbali walivyo fundishwa huko shuleni, kwa ufasaha sana, na daima mama alifurahi na mtoto alifurahia sana malezi na upendo wa mama yake elimu [emoji205]
Tatizo sasa,
Baba yake akirudi, na kumuita mtoto yule kwaajili ya ukaguzi ule ule kama aloufanya mama yake, nadhani yule mtoto huwa anajawa woga, hasira iliyojaa kiburi, mithili ya nyoka mweusi aliebugudhiwa [emoji205]
ndugu zangu mtoto hua anavibreti kwa kilio kile cha hasira na sauti ya kujizuia huku akitetemeka kama kiswaswadu.
akiambiwa soma hiki ni nini, au hii picha ni ya nini, mtoto hugoma kabisa... ni kilio na kutetemeka tu.....
unajua kwanini anafanya hivyo,
anajua akisoma kwa kukosea, atapigwa na akisoma kwa usahihi atapigwa tu vilevile [emoji205]
kwahivyo amechagua best option ni kukaa kimya apigwe tu yaishe.
sasa ndio malezi gani hayo [emoji205]
Tuwalee watoto wetu kwa upendo ndrugo zango [emoji205]
Tumia fimbo ya ukali kwa upendo mtoto akue vizuri utafurahi mwenyewe🐒Weeee mtoto asinyimwe fimbo sema ziwe kiasi Kwa ngozi nyeusi Tena Tz zinasaidia mno...