Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Kweli kabisa.na upendo wa wazazi tu iko na faida kubwa sana sana sana au unasemaje min -meHapo ndo kuna member mmoja kasema ubinafsi. Wewe ukiamua kuwa mzazi ,ujue maamuzi yako yote yajayo yanatakiwa kwanza kuzingatia ustawi wa watoto wako. Kuwanyima watoto haki ya kuwa na mzazi wao kwa tamaa zako mwenyewe ndo kutengeneza wahanga tunaowaongelea hapa.Kuna msemo wa kiingereza unasema " zawadi kubwa zaidi unayoweza kuwapa watoto wako, ni kumpenda mwenzi wako". Watoto kabla ya chochote wanahitaji wazazi wanaioshi pamoja kwa upendo ( kama wote wapo hai) hayo mengine ni ziada. Kama hitaji hili muhimu likikosekana, hata uwape nini haiwezi kuwa mbadala wake.
Lakini pia kwa kuongezeka open point ni kuwa “UPENDO HAUHITAJI PESA ILI KUKOMAA KATIKA MAHUSIANO,LAKINI KUSEMA HIVYO PIA MWANAUME NDIO CHANZO CHA KIPATO KATIKA FAMILIA.”
Isitoshe hii digital life pia imechangia kuvunja ndoa nyingi kwa wale ambao wameingilia mitandao kichwakichwa na nyuma ya maisha yao walipitia haya wanayoyaona humu.
Mf.mkwe wa Dr mmoja wa madawa asili hapa Daslaam yaani ndoa yake imevunjika kijingajinga tu hadi inafika wakati mgeni akijiunga na madigital na akaona ile midadala halafu nyuma ya pazia anaishi vivyohivyo,anaona mbona hata mimi nitaweza badala yake ndio hayo ya kujizalilisha mitandaoni kwa mambo ya kijingajinga.