Kweli kabisa.na upendo wa wazazi tu iko na faida kubwa sana sana sana au unasemaje min -meHapo ndo kuna member mmoja kasema ubinafsi. Wewe ukiamua kuwa mzazi ,ujue maamuzi yako yote yajayo yanatakiwa kwanza kuzingatia ustawi wa watoto wako. Kuwanyima watoto haki ya kuwa na mzazi wao kwa tamaa zako mwenyewe ndo kutengeneza wahanga tunaowaongelea hapa.Kuna msemo wa kiingereza unasema " zawadi kubwa zaidi unayoweza kuwapa watoto wako, ni kumpenda mwenzi wako". Watoto kabla ya chochote wanahitaji wazazi wanaioshi pamoja kwa upendo ( kama wote wapo hai) hayo mengine ni ziada. Kama hitaji hili muhimu likikosekana, hata uwape nini haiwezi kuwa mbadala wake.
wachache sana wanaolijua hili.Changamoto kwenye mahusiano hazikosekani, ila kama wote mna nia njema na ndoa yenu,hakuna atakaemchoka mwenzie mkuu.
Hawajui au wanakaza mafuvu?wachache sana wanaolijua hili.
Yeah wanakaza mafuvu.Isipo kuwa jambo hili linahitaji elimu ya kutosha,wapo watu wakitoa historia za maisha yao humi ndani tutajenga sana huzuni,lakini haohao watu ambao nimetoka kuwataja mwanzo wa haya maandishi,ndio hao hao wanaopeleka hii nyambizi kichakani.Hawajui au wanakaza mafuvu?
Watu Wanachukulia poa Sana vitu vidogo vidogo vinavyowapata watoto, kimsingi vinaanza kama cheche, pindi akizidi kuwa mkubwa navyo vinakuwa na kumuathiri vibaya Sana na kuacha sio rahisi maana ametoka navyo utotoni kabisa...Mfano wale waliokuwa affected na video za ngono,ugomvi wa wazazi, ukatili wa kijinsia nk hawa watu wa Aina hii wakikua vile walivyopitia vitaathiri ukuaji wao maana hisia zao ziliguswa.Hakika trauma inaweza kuwa event ndogo sana lakini ukikosa guidance inaharibu the rest of your life.
Kama mtu ameumizwa na hajapata matibabu ya kumponyesha, lazima na yeye ataumiza wengine. Labda aone mambo meengi aamue zake kuishi single life. Ndio maana majadiliano kama haya ni muhimu, ili walioumizwa watambue ni wahanga na wasiogope kutafuta namna ya kupona.Yeah wanakaza mafuvu.Isipo kuwa jambo hili linahitaji elimu ya kutosha,wapo watu wakitoa historia za maisha yao humi ndani tutajenga sana huzuni,lakini haohao watu ambao nimetoka kuwataja mwanzo wa haya maandishi,ndio hao hao wanaopeleka hii nyambizi kichakani.
Najua hauta kisoma 😂😂Sijakisoma…. i will have a look.
Majukumu yanatufanya tupunguze kushika vitabu, tukipata ka muda kidogo tunakimbililia kuscroll ticktock. 😅😭
Kuna mtu above hapo ameccomment, huwa anasoma vitabu kama kichaa, nafikiri amekula vitabu hata buku. If you want a book club atakukuconect some days.
Hizi kauli ni mitego zaidi ya 90%. Wengi huzaa Kwa mihemko na kuacha matatizo Kwa watoto.Yes mkuu, watu haya mambo wanachukulia kama sehemu ya maisha. Kuna zile kauli kwenye jamii kwa mabinti za " umri umeenda ,tafuta hata mume wa mtu uzae nae". Yaani wanahalalisha mtoto kukosa malezi ya baba kisa tu" umri umeenda".
Yeye amekuja na concept ya individual craving.. Sasa namuuliza ya kuwa chimbuko la hizo craving ni wapi?Mkuu, hayo si maneno yangu,ni maneno ya hao waliocheza hizo mambo. Kwa vinywa vyao walikiri kuingia humo kutokana na kukosa upendo wa wazazi wakiwa watoto na hata agents wanaotafuta waigizaji wanalenga zaidi kundi hilo. Na sio kila mtu aliyekutwa na hayo matatizo ataangukia humo, ila walioangukia humo asilimia kubwa wana majeraha ya utotoni, sijasema wote.
Ok sawa, uko sahihi kabisa.Namaanisha, waraibu wasichukuliwe kama wahalifu,wachukuliwe kama watu wanaopitia changamoto ambazo ziko nje ya uwezo wao. Kama ambavyo ukiskia mtu anaumwa Malaria haumuhukumu, vivyo hivyo ukiwaona waraibu usiwahukumu.
Yes nakubaliana na wewe mkuuUmeongea Vizuri and mtoa maada kuna namna anachanganya Mambo tho ana point,,Hasa akiongelea addiction,.
Mimi nishakua an addict wa madawa kuna Uzi ulikua unazungumzia hayo niliongea the causes and withdrawal...
Tujue kua physical dependence na behavioral problem ni vitu viwili TOFAUTI,..
Kitu ambacho sio kweli, ni formula wanaieleza ili Jamii isikie Huruma.
Hizi statement ni personal attack tu, hazina ukweli wowote.Kitu ambacho sio kweli, ni formula wanaieleza ili Jamii isikie Huruma.
Wakati Kiukweli % wao wenyewe wanataman kuwa mashoga na walikuwa wanatamani toka zamani.
"Feeling kama mama ake amemkumbatia" , hii kauli imenitoa machozi mkuu, nimevuta picha kama mwamba namuona huyu hapa anatafuta mtu wa kumkumbatia halafu hayupo.shida watoto wadogo wana emotional intelligence kubwaa mno, kitu ambacho wazazi wengi wana kasumba ya kupuuza wakizani ya kwamba watoto ni kama wajinga au kufikiri watoto hawajitambui... kosa kubwa
sana hivi vitoto hata vichanga vina uwezo mkubwa sana
watalaam wanakuambia mtoto anazaliwa wakati ubongo wake una cell nyingi zaidi ya mtu mzima kadiri anavyokuwa ndivyo anavyozipunguza
kama mzani atadhuru mtoto, hii inakuwa jeraha kubwa mno ukizingatia mzazi ni primary caregiver na mtoto anaamini hivyo sasa kama wakumtegemea kamdhulu je ambao sio wa kutegemea.
kuna jamaa mmoja mbabe saana lakini alikuwa addict wa Cocaine, anakuambia akitumia cocaine ilikuwa ina mletea amani sana feeling kama vile mama yake amemkumbatia. yeye hakuwahi kuishi na mama yake. it so Sad
Kumbe unanifuatilia kimya kimya?Na hata Sasa nimeelewa kwanini uko hateful Kwa wanawake.kutwa thread za kuwatukana.juzijuzi uliniacha na maswali
Nimepata majibu
Get well soon rafiki!
🙏🙏Strong ladg na Elevenn nawaona wakuu.hongereni sana.
Hivi vitu viko indeep sana ni vile watu huenda wasitake kuelewa kwa sababu huenda wameshatengana na wenza wao teyari.
Lakini suala la malezi watu wanapaswa kujua kabla hawajatupiwa wanajamii wengine linaanza kwa BABA NA MAMA.OutOf kila mtu atajilaumu na kujifariji ujinga maisha yake yote.
Ila mkuu hata hao transgender kuna ambao ni trauma jumlisha kukaa kwenye mazingira ambayo hivyo vitu vinahubiriwa sana. Kuna huyo niliona stori yake yeye alikuwa mdada, alikua mazingira ambayo wanawake wanateswa sana huku Afrika, akawa amechukia kuwa mwanamke yaani sana. Alivyoenda mambele kusoma hizo itikadi za transgender zikamuingia haswa akaamua kujibadili, alifikia hatua hadi ya kukata maziwa na alikuwa anaelekea kuondoa ovaries. Kupona kwake na kurudi kawaida ni kama muujiza na alibahatika kupata mume huko huko akaolewa. Sasahivi anapambana na madhara ya madawa na operesheni alizofanya wakati anahangaika kubadili jinsia.Hizi statement ni personal attack tu, hazina ukweli wowote.
Hakuna anayependa kuwa shoga my friend, ni anapenda the chase of connection. Yuko sahihi kwa POV yake Kwa sababu a nahisi mapenzi ya jinsia moja ni bora kuliko trauma ya kutokupata mwenza wa jinsia tofauti.
Lakini pia kuna wale transgender... Hao huwa wanakuwa kweli, kwa nje anaonekana mwanaume ila ndani anakuwa mwanamke.
That's another case, ila kwao ni kweli kabisa.