Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

Hamna huyu mwamba ametoboa ila Hana muendelezo Yani sio msanii mdogo huyu trey Songz shida anakua kimya muda mrefu atoi ngoma Yani mpaka anasahaulika
 

Fela na Tale waliwafikisha wapi wasanii wengine au Mondi ndo msanii wao wa kwanza? Mondi angefika tu alikokuwa anaenda hata bila hao matapeli.
 
Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
Generation ya Treyz ishapita, ni kama Usher tu, RnB sikuhz ina mashabiki wachache sana, na wengi ni wale wapenzi wa oldies.

Breezy hawezi kuchuja sabab anajitahidi sana kuendelea kuwa relevant na pia uwezo wake mkubwa wa kudance na kuimba genres tofauti ndo unambeba kwenye hilo.

Huoni hata hapa TZ wakali wa RnB wanaikimbia siku hizi. Mchek jux sikuhizi anaimba na zuchu singeli, ben pol yeye ndo haonekani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…