Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Kivipi Generation ya Trey ipite halafu ya Chriss ibaki nae bega kwa bega wakati kamtangulia TreyGeneration ya Treyz ishapita, ni kama Usher tu, RnB sikuhz ina mashabiki wachache sana, na wengi ni wale wapenzi wa oldies.
Breezy hawezi kuchuja sabab anajitahidi sana kuendelea kuwa relevant na pia uwezo wake mkubwa wa kudance na kuimba genres tofauti ndo unambeba kwenye hilo.
Huoni hata hapa TZ wakali wa RnB wanaikimbia siku hizi. Mchek jux sikuhizi anaimba na zuchu singeli
R&B imeisha bongo sio USA