Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Kivipi Generation ya Trey ipite halafu ya Chriss ibaki nae bega kwa bega wakati kamtangulia TreyGeneration ya Treyz ishapita, ni kama Usher tu, RnB sikuhz ina mashabiki wachache sana, na wengi ni wale wapenzi wa oldies.
Breezy hawezi kuchuja sabab anajitahidi sana kuendelea kuwa relevant na pia uwezo wake mkubwa wa kudance na kuimba genres tofauti ndo unambeba kwenye hilo.
Huoni hata hapa TZ wakali wa RnB wanaikimbia siku hizi. Mchek jux sikuhizi anaimba na zuchu singeli
Sio kweli mkuu mbona trey nae anaimba genre tofauti vizuri tuGeneration ya Treyz ishapita, ni kama Usher tu, RnB sikuhz ina mashabiki wachache sana, na wengi ni wale wapenzi wa oldies.
Breezy hawezi kuchuja sabab anajitahidi sana kuendelea kuwa relevant na pia uwezo wake mkubwa wa kudance na kuimba genres tofauti ndo unambeba kwenye hilo.
Huoni hata hapa TZ wakali wa RnB wanaikimbia siku hizi. Mchek jux sikuhizi anaimba na zuchu singeli, ben pol yeye ndo haonekani kabisa
Ndio nimeshangaa anasema RnB imeisha aiseeKivipi Generation ya Trey ipite halafu ya Chriss ibaki nae bega kwa bega wakati kamtangulia Trey
R&B imeisha bongo sio USA
R Kelly ameazisha hip hopKwahiyo R Kelly ndio kaanzisha rnb
Jibu swali R Kelly ndio kaanzisha RnbR Kelly ameazisha hip hop
Nmekwambia Chris ana adapt na direction ya mziki sio kama Treyz yeye ni pure RnB labda achanganye kdg kama kwenye ngoma ya 'Foreign'Kivipi Generation ya Trey ipite halafu ya Chriss ibaki nae bega kwa bega wakati kamtangulia Trey
R&B imeisha bongo sio USA
Nishaona nadiscuss na mtu aliejua mziki juzi.Sio kweli mkuu mbona trey nae anaimba genre tofauti vizuri tu
Duuh aiseewashikaji wengi wa chriss brown wameporoka wameshindwa kummantain game Mtu kama Kid ink chriss alimbeba sana ila now hata hasikiki na Tyga nae ndio hivo tia maji tia maji ...wasanii wa california sijui nini kina wakumba
We uliejua tangia zamani uko level Gani ya usanii wako dunianiNishaona nadiscuss na mtu aliejua mziki juzi.
Kuna genre na kuna flavors. Genre ya RnB inaweza kuwa na flavors tofauti.
Ninaposemea kuimba genres tofauti naongelea wasanii kama chris na drake.
Treyz habadilishi genre bali anabadilisha flavor tu.
Kwangu mm chris ndie the best artist sababu kwa kesi yake dhidi ya riri na game lake lilivogumu hasingeweza kutoboa kwa level alioopo now. Isingekuaga kesi ya kumpiga riri nadhan jamaa angemrithi MJ hata kwa asilimia chachewashikaji wengi wa chriss brown wameporoka wameshindwa kummantain game Mtu kama Kid ink chriss alimbeba sana ila now hata hasikiki na Tyga nae ndio hivo tia maji tia maji ...wasanii wa california sijui nini kina wakumba
Samahani mkuu we ni punga?Tatizo mnadhani kuwa kipaji pekee kinafanya mtu atoboi. Muziki upo tofauti sana. Kila nchi inakuwa na watu fulani ambao wanaendesha system.
Kama ingekuwa rahisi hivyo basi watu wasingepakwa mafuta na didy. Msanii wetu hapa alipotaka kufika level Fulani alienda kumtembelea didy aone anapataje msaada. Kwahiyo lazima ukubali kipaji pekee haitoshi kwenye muziki, lazima ujue unazungukwa na watu gani.