Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
MDA -Ministries, Departments, Agencies
LGA- Local Goverments Authorities

Maana yake unaweza kupangiwa kwenye kituo chochote hapo,

Kuhusu mishahara inategemea na elimu na sehemu utakayopangiwa (Mara nyingi wanatumia TGS)
 
Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa.

Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
Ogopa kitu kinaitwa LGA , utashinda na njaa sana.
Itakua mfumo wako wa maisha yani namaanisha chai jagi kitumbua kimoja.

Ile Idea ya moja ya tatu, wasomi wanaiita "one-third" ilitokana na watumishi wa LGAs feat. ndugu zao wa MDA kulala na njaa sana.

Wadau wako wa Maendeleo watakua ni Tunakopesha Ltd, FINCA et al. Unawajua wale wadau wanaosalimishaga ATM Cards zao kwa wadau wa maendeleo? Basi wale ndo watu wa LGAs na MDAs.

Ila, ukiwa na akili timamu, narudia tena ukiwa na akili timamu maisha utakua umeyapatia.

Hiyo kazi ya MDAs na LGAs zikubali ukiwa na akili timamu unatoboa. Ukizubaa utakua kama Sajenti wa Polisi aliyefanya kazi ya kufukuza nzi kwenye Force kwa miaka kenda rudi.

Werevu wamenielewa. Nakutakia utumishi mwema.
 
Duh, so ukipangiwa MDA sindio unyama mzee. Hao LGA sitaki hata kuwasikia
 
Back
Top Bottom