Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Nachojua ni kama taasisi ambazo zina wasimamia wafanyakazi kulingana na taaluma mfano

LGA local gvt agency hii special sana kwa maafisa watendaji wa mitaa na taaluma zote ambazo zina shilikiana na watendaji wa mitaa
Kama Jambo hatulielewi ni vema kukaa kimya,
Ni vyema ieleweke kuwa Serikali za Mitaa si wakala wa Serikali Kuu bali ni serikali kamili zenye mamlaka chini ya Sheria.

Sheria Namba 7, 8 na 9 kama zilivyopitishwa na Bunge mwaka 1982 na kurejewa tena mwaka 1999 na 2000, zinatoa maagizo juu ya uundaji, uendeshaji na usimamizi wa Serikali za Mitaa.

Serikali za Mitaa huundwa , huendeshwa, husimamiwa na kuwajibika kwa wananchi wenyewe. Hivyo basi Serikali za Mitaa zimeundwa kwa mantiki ya kuwawezesha wananchi kushiriki katika masuala ya siasa, uchumi, upatikanaji wa huduma na utawala katika maeneo yao na katika nchi yao.

Kwa ujumla ni muundo ambao unawawezesha wananchi kuwa na udhibiti wa maamuzi ya wawakilishi waliowachagua.
 
Wakati unawaza salary na mengine usisahau pia hii kitu👌
 
Attachments

  • Screenshot_20230109_033126_Gallery.jpg
    Screenshot_20230109_033126_Gallery.jpg
    66.7 KB · Views: 59
Ogopa kitu kinaitwa LGA , utashinda na njaa sana.
Itakua mfumo wako wa maisha yani namaanisha chai jagi kitumbua kimoja.

Ile Idea ya moja ya tatu, wasomi wanaiita "one-third" ilitokana na watumishi wa LGAs feat. ndugu zao wa MDA kulala na njaa sana.

Wadau wako wa Maendeleo watakua ni Tunakopesha Ltd, FINCA et al. Unawajua wale wadau wanaosalimishaga ATM Cards zao kwa wadau wa maendeleo? Basi wale ndo watu wa LGAs na MDAs.

Ila, ukiwa na akili timamu, narudia tena ukiwa na akili timamu maisha utakua umeyapatia.

Hiyo kazi ya MDAs na LGAs zikubali ukiwa na akili timamu unatoboa. Ukizubaa utakua kama Sajenti wa Polisi aliyefanya kazi ya kufukuza nzi kwenye Force kwa miaka kenda rudi.

Werevu wamenielewa. Nakutakia utumishi mwema.
Hivi mfano kama ni mtu wa beekeeping ukapata local government unaweza kuchezesha ukahamia tfs ?
 
Ogopa kitu kinaitwa LGA , utashinda na njaa sana.
Itakua mfumo wako wa maisha yani namaanisha chai jagi kitumbua kimoja.

Ile Idea ya moja ya tatu, wasomi wanaiita "one-third" ilitokana na watumishi wa LGAs feat. ndugu zao wa MDA kulala na njaa sana.
Acha uongo, hujui kitu unaongea,
Serikali mwajiri ni mmoja tu hivyo hata leo ukifanya interview kwa ajili ya LGAs una room kubwa ya kuhamia any Government entity in 2-3 years.

Wapo wengi ninaowafahamu walianza LGAs kwenye salary scale ya TGS lkn ss wapo MDAs + Authorities za maana sana na wanakula Salary za maana....

LGAs it can be just a path to the green pasture, Issue kubwa hapa ni focus.
 
Unabwabwaja tu hujui hata nimeandika nini hapo. Nani kasema Serikali waajiri ni wawili kama sio mmoja?

Kwa mentality hiyo marejesho ya FINCA Faidika Tunakopesha Ltd. yatakuandama sana.

Hivi ulikuaje mtumishi wa umma kwanza??
 
Back
Top Bottom