Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

MDA -Ministries, Departments, Agencies
LGA- Local Goverments Authorities

Maana yake unaweza kupangiwa kwenye kituo chochote hapo,

Kuhusu mishahara inategemea na elimu na sehemu utakayopangiwa (Mara nyingi wanatumia TGS)
Hao wataoenda LGA's karibia wote watakuwa wanatumia TGS maana watakuwa chini ya Halmashauri Mbalimbali za miji na wilaya.

MDA's hawa watakuwa tofauti kulingana na Taasisi husika
 
Hao wataoenda LGA's karibia wote watakuwa wanatumia TGS maana watakuwa chini ya Halmashauri Mbalimbali za miji na wilaya.

MDA's hawa watakuwa tofauti kulingana na Taasisi husika
Ukishaskia MDAs ujue ngoma inalipwa Hazina. Mnatakiwa mjue jinsi mifumo ya nchi hii inavyofanya kazi ndio mtawaweza kufaidi keki ya Taifa
 
We lisha wadau matango Pori tu.

MDAs kwanza hazina uwezo hata wa kugharamia mchakato wa ajira za utumishi ndio maana wanapewaga watu wa kwenye "Database".
Kaka mbona unadanganya watu hadharani, MDA ni kazi za Wizara zote unazozijua (Ministries) Mashirika yote ya umma unayojua na departments zote unazojua, mifano imetolewa hapo juu, LGA sasa nahisi ndo uloongelea hapo maana ni kazi za Local Government sanasana Halmashauri. Vitu vingine uwe unauliza kabla hujaja kuaibika huku
 
Back
Top Bottom