Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

Ulichoandika wewe ni kama mtu akiajiriwa LGAs atastaafia hapo. Na si kweli kwamba LGAs kuna hiyo Chai jagi kitumbua kimoja, uongo mtupu....zipo Councils under LGAs ambazo ziko vzr kwa own source na wanaishi vzr tu..... na huko MDAs ambako nako unasema kuna shida ni uongo...mfano TPDC inafall kwenye MDAs hapo ukweli wako uko wapi...nonsense ndo maana nakwambia wewe hujui unachoongea u speak frm story za vijiweni....again sio lazima ujue yote.....kama hujui piga buyu!!!
 
Ulichoandika wewe ni kama mtu akiajiriwa LGAs atastaafia hapo. Na si kweli kwamba LGAs kuna hiyo Chai jagi kitumbua kimoja, uongo mtupu....zipo Councils under LGAs ambazo ziko vzr kwa own source na wanaishi vzr tu..... na huko MDAs ambako nako unasema kuna shida ni uongo...mfano TPDC inafall kwenye MDAs hapo ukweli wako uko wapi...nonsense ndo maana nakwamvia wewe hujui unachoongea u speak frm story za vijiweni....again sio lazima ujue yote.....kama hujui piga buyu!!!
Oya TPDC mbona wametoa kaz wanataka wahasibu walitoa UTUMISHI bado hawajita
 
Back
Top Bottom