Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...
kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,
ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...
au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....
au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..
unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?
una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒