Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Wazee wa pale kwenye kijiwe cha Kahawa karibu na ofisi ya Ccm pale karibu na soko kuu la Singida 🤣😅😂👍
Kama ni kweli,wanapotosha sana.Wakaendelee tu kuchimba madoo/viazi huko Iguguno na Kititimo wastawishe uchumi wao.Hapo Utemini hapawafai.Wataishia kupigwa na upepo mkali kwenye nyuso zao wapauke tu.
 
Mtu akishaweza kugundua stori za kutunga ina maana ana uwezo mkubwa wa kukutungia nyingine na ukaamini ni za ukweli.
sasa mbona kubabaika kwingi,
na kama mtu anahisi ni uongo hali ya kua ni tetesi,

ni vizuri akaelekea moja kwa moja mental health clinics badala ya kazini, kwasabb anaweza kuleta taharuki mno kwenye maofisi ya watu ufahamu na uelewa wake unaweza kua umejam...

hata na hivyo,
hii ni siasa, watch very closely and keenly what I have explained shortly and clearly utajua hujui, tena sio muda mrefu sana 🐒
 
Kulazimisha stori za kutunga ziaminike kwa watu wazima ndiyo afya mbovu ya akili sasa.
 
Back
Top Bottom