Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Siasa ni maisha na lifestyle ya mtu Lisu hawezi kuacha siasa au uanaharakati that's the way he is....

Labda niseme it's for the country benefit kama tungeachana na hizi siasa za kilaghai na majitaka za wanasiasa wote na magenge yao (CCM na CHADEMA) sababu mpaka sasa wanatumia tu kodi zetu bila return ya maana kwenye maigizo yasiyo na tija....
dah, aise kumbe?

but ushauri wa wazee kwa Lisu unaizunguziaje kwa mfano, afuate upi sasa kwa mfano, kupumzika au kuelekea ccm?🐒

kifupi tu gentleman...
 
Afuate kichwa chake kinavyomtuma na sio wengine wanvyotaka..., by the way kufanya what is right ni lazima awe CCM au CHADEMA...,kuhusu kuacha ataacha siku akifa sababu hayo ndio maisha yake, that is what makes him complete, mtu hawezi kuacha maisha yake....
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Unaandika mno Mwamba! Ni muoga mno Mwamba!

Ushauri mwingine muachie mke wa Lissu!!

Tatizo lenu nyie wavukana wa Kizanzibar mnakuwaga na mazoea yasiyo na afya Kwa Waume za watu. Nani anawafundisha huo ujinga?

Punguza mazoea na ufanye kazi zako za heshima
 
Kujitenga ni hadi tupate wasaa wa kuongea na mzee Mangula na Kikwete watutoe hofu hiyo.
basi mwende sasa kuliko kuendekeza ushirikina kwenye hoja muhimu na ya maana namna hii, kwa mustakabali mwema wa siasa na ustawi wa demokrasia ya vyama vingi nchini 🐒
 
Afuate kichwa chake kinavyomtuma na sio wengine wanvyotaka..., by the way kufanya what is right ni lazima awe CCM au CHADEMA...,kuhusu kuacha ataacha siku akifa sababu hayo ndio maisha yake, that is what makes him complete, mtu hawezi kuacha maisha yake....
nakubali gentleman 👊💪
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Mti wenye matunda ndio upigwao mawe !!
Ukiona mtu anajadiliwa sana ujue wanaomjadili wanamkubali sana na pia humo humo wapo wanao muogopa sana !
That’s it Gentleman !🙌👍
 
Unaandika mno Mwamba! Ni muoga mno Mwamba!

Ushauri mwingine muachie mke wa Lissu!!

Tatizo lenu nyie wavukana wa Kizanzibar mnakuwaga na mazoea yasiyo na afya Kwa Waume za watu. Nani anawafundisha huo ujinga?

Punguza mazoea na ufanye kazi zako za heshima
hii siasa ni kazi pia gentleman, ni kweli hujui?🐒

unanifatilia mno gentleman, right?
karibu sana library kwangu one day mbona utafurahi mno aise, kama ambavyo ukinifuatilia hukosi kujua jambo but hukosi kuchangia,

kwasabb ni mambo mazito ya maana kwa lugha nyepesi na rahisi kabisa kwa kila moja kuelewa...

hayo ya kifamilia nadhani ni ya watu wa uswahilini, binafsi nadeal na masuala ya jumla kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa pekee 🐒
 
Back
Top Bottom