Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Hana uwezo wa kuingia JF?Mwambie aje mwenyewe ili apate ushauri maridhawa huku anafanyiwa masihara asijinyonge kwa hofu ya kukosa "ghetto" la familia.Sawa ngoja nimshauri maana kadata
Sawa Nitamshauri aingie jamii forumHana uwezo wa kuingia JF?Mwambie aje mwenyewe ili apate ushauri maridhawa huku anafanyiwa masihara asijinyonge kwa hofu ya kukosa "ghetto" la familia.
Muhusika ametapeli na wengine au Yeye tu mmoja?.Kiwanja no kikubwa kilipimwa na muhusika na yeye ni mmoja aliyekatiwa kipande kwenye hicho kiwanja mkuu
Nani kalewa mkuuHapo hakuna kesi ,huyo kalewa tu...labda kama kuna kitu ujatuambia muhimu kimefichwa
Ameanza na huyu aliyejenga wenzie bado hawajajenga na wapo mbali nahisi hawana taarifa kama jamaa ameanza utapeliMuhusika ametapeli na wengine au Yeye tu mmoja?.
Mbona kesi siioni hapa, Labda kama kuna details haujaelezea
Kiwanja ni Kikubwa kilipimwa . ✍️Kiwanja no kikubwa kilipimwa na muhusika na yeye ni mmoja aliyekatiwa kipande kwenye hicho kiwanja mkuu
Kama document za manunuzi anazo na ni halali na zinasomeka kwamba alinunua 2005 na amekaa muda wote huo bila usumbufu wowote, sheria inamlinda hata kama huyo bwana ataenda mahakamani na hiyo hati yake. Muda wa kudai ardhi kisheria mwisho ni miaka 12Naombeni
Hamna Mimi sio muhusikaWewe ndiye muhusika, sasa tulia nyoosha maelezo usaidiwe..!!
Msisitize aje humu JF "pasonale"!Hata ikitokea amedhulumiwa hatasikitika sana kwa sababu atafanyiwa futuhi za kutosha na members wa humu hadi atajiona yupo mbinguni kuume kwa BABASawa Nitamshauri aingie jamii forum
Yaani namaanisha mtu mwenye uwanja mkubwa halafu aanze kuuzia watu baadhi ya sehemu ya huo uwanja baadae awatapeliKiwanja ni Kikubwa kilipimwa . ✍️
Tena kuna kukatiwa kipande? Kwenye hicho kiwanja. 🙄🙄 Kuna taarifa hamziweki sawa bado.
Aisee
Iwe ana mkataba wa mauziano ya kiwanja, hati au hana nyaraka yoyote ya umiliki, kesi ya ardhi (kugombea umiliki) haipaswi kwenda polisi. Asipeleke nyaraka yoyote huko wala asijielezee kihivyo.Sawa ngoja nimshauri maana kadata
Kufariki kwa Shahidi hakumaanishi kuwa Makubaliano hayakuwa Halali.Walikua wa nne Sasa ubaya mwenyekiti kafariki na shahidi yake ni marehemu muuzaji shahidi yake ni mtoto wake ambao lao ni Moja
Hatapeliwi mtu hapo.Kama aliwauzia na wengine ndiyo bomba zaidi ili mashahidi wa ukibaka wa muuzaji waongezeke.Tutatafuta mlinganyo sahili wa miandiko kwenye maandishi ya wengine waliouziwa maeneo hayohayo.Yaani namaanisha mtu mwenye uwanja mkubwa halafu aanze kuuzia watu baadhi ya sehemu ya huo uwanja baadae awatapeli
Anahofia jamaa anaweza kukana hayo. Makubaliano ya kwenye karatasiKufariki kwa Shahidi hakumaanishi kuwa Makubaliano hayakuwa Halali.
Yeye ana Documents??.
Kama anazo na wote wamesign mbona sioni kesi,
Labda useme ushahidi wa Macho.
Ila kama Docs ziko hata mtu akifa inabaki makubaliano yanayojenga Msingi wa uhalali
Hofu yako ni janga lako.Kwa nini mtu atangulize hofu kabla ya ndoa kufungwa?Kwani ana matatizo ya via vya uzazi kutoitikia midundo ya ngoma za kijanja?Anahofia jamaa anaweza kukana hayo. Makubaliano ya kwenye karatasi
DuuhHofu yako ni janga lako.Kwa nini mtu atangulize hofu kabla ya ndoa kufungwa?Kwani ana matatizo ya via vya uzazi kutoitikia midundo ya ngoma za kijanja?
Hawezi kukana.Anahofia jamaa anaweza kukana hayo. Makubaliano ya kwenye karatasi