Karatasi ya mauziano ndio nini ?Kikubwa hapo ni ile karatasi ya Mauziano ambayo mbali ya mashahidi uwepo muhuri na saini ya Mwenyekiti ama mtendaji italeta Maana.
Na achanganyikiwe mara mbili, utajengaje nyumba kwenye ardhi hata hati huna?Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Kwani alikinunua bila maandishi yoyote? Ukinunua kiwanja mpaka Serikali za Mitaa huwa wanahusishwa. Au alinunua kama ananunua nyanya sokoni?Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Wenyekiti wa Mtaa hawauzi kiwanja wala hawatakiwagi kupewa % yoyote.Karatasi ya mauziano ndio nini ?
Mkataba ?
Kwenye sheria za mikataba, hakuna sehemu ya saini au muhuri wa Afisa Mtendaji wala Mwenyekiti wa mtaa
Hiyo story ni chai. MsijisumbueAlijengaje Bila Kuwa na Hati ya Kiwanja au Offer ya Kiwanja?
Aliruhusiwaje Kwenye Ujenzi (Building permitt) bila Kuwa na Hivyo vitu?
Kwani hana Mkataba wa Mauziano Katika Mkataba wa Kuuziana Nani alisaini?
ni uzembe wa hali ya juu..kama alivosema mtoa mada hicho kiwanja alikatiwa na muuzaji yaani mfano muuzaji ana kiwanja kimepimwa chenye hati Square meter 200 alafu akakata SQ.m 50 akamuuzia huyu jamaa kwahiyo muuzaji atabakiwa na SQ m 150 hivyo muuzaji na mnunuzi wote walitakiwa wapate documents mpya..lakini kwa uzembe wa mnunuzi hakufatilia nae apate hati yake ya SQ m50 aliyonunua na muuzaji kuona jamaa yupo kimya ammbani muuzaji kupunguza SQ m50 kwenye documents yake inayosoma 200m SQ kwani jamaa akaridhika na hati ya auziano ya serikali ya mtaa..hivyo mpaka sasa eneo lote ikiwemo nyumba ya jamaa bado linasoma kwenye jina la muuzaji kwani kipande alichokatiwa mnunuzi bado kimo kwenye hati kuu ya muuzaji hakijitegemei..sema muuzaji kaingia tamaa baada ya kuona hio nyumba ya jamaa na mnunuzi akizubaa hiyo nyumba ataikosa kwa vile hakuimega hati ya muuzaji ili ipunguzwe ukubwa wa vipimo na mipaka mapema..Inaonekana jamaa alivyouziwa hakupewa document halisi ya muuzaji na pia hakwenda kubadilisha umiliki ardhi. Hapo ni changamoto
Angeenda kubadili umiliki ardhi wapi, kwa mtendaji ??Inaonekana jamaa alivyouziwa hakupewa document halisi ya muuzaji na pia hakwenda kubadilisha umiliki ardhi. Hapo ni changamoto
Hapa ndio nimekuelewa.ni uzembe wa hali ya juu..kama alivosema mtoa mada hicho kiwanja alikatiwa na muuzaji yaani mfano muuzaji ana kiwanja kimepimwa chenye hati Square meter 200 alafu akakata SQ.m 50 akamuuzia huyu jamaa kwahiyo muuzaji atabakiwa na SQ m 150 hivyo muuzaji na mnunuzi wote walitakiwa wapate documents mpya..lakini kwa uzembe wa mnunuzi hakufatilia nae apate hati yake ya SQ m50 aliyonunua na muuzaji kuona jamaa yupo kimya ammbani muuzaji kupunguza SQ m50 kwenye documents yake inayosoma 200m SQ kwani jamaa akaridhika na hati ya auziano ya serikali ya mtaa..hivyo mpaka sasa eneo lote ikiwemo nyumba ya jamaa bado linasoma kwenye jina la muuzaji kwani kipande alichokatiwa mnunuzi bado kimo kwenye hati kuu ya muuzaji hakijitegemei..sema muuzaji kaingia tamaa baada ya kuona hio nyumba ya jamaa na mnunuzi akizubaa hiyo nyumba ataikosa kwa vile hakuimega hati ya muuzaji ili ipunguzwe ukubwa wa vipimo na mipaka mapema..
Then explain what was supposed to be done?Angeenda kubadili umiliki ardhi wapi, kwa mtendaji ??
Umiliki wa kiwanja ni hati. Hiki hakikua na hati wakati ananunua.
Angebadilisha umiliki gani ??
Watu wanarudia maswali yale yale. Angetoa maelezo timilifu tangu mwanzo angesaidiwa kirahisi. Ila simlaumu. Ukitapeliwa unapaniki!Wewe ndiye muhusika, sasa tulia nyoosha maelezo usaidiwe..!!
Wapi kasema siku anauziwa kilikuwa na hati ?????muuzaji ana kiwanja kimepimwa chenye hati Square meter 200 alafu akakata SQ.m 50 akamuuzia huyu
Hilo eneo liko wapi (Mkoa/wilaya)Yaani namaanisha mtu mwenye uwanja mkubwa halafu aanze kuuzia watu baadhi ya sehemu ya huo uwanja baadae awatapeli
Mtafute mshana kesi ndogo hiyoHuyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa na mwaka 2018 akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa
Usiyafanye mambo kuwa magumu hivyo kwa nia "njema" ya kuvutia unufaikaji wa upande fulani/wanasheria.Fukunyua ujifunze umuhimu na wanavyotajwa kisheria za nchi/serikali za mitaa ya 1982 kuhusu upangaji/upangishaji maeneo/nyumba bila kusahau mauziano.Karatasi ya mauziano ndio nini ?
Mkataba ?
Kwenye sheria za mikataba, hakuna sehemu ya saini au muhuri wa Afisa Mtendaji wala Mwenyekiti wa mtaa