Wazee kuna jamaa yangu ametapeliwa kiwanja anaomba msaada afanyaje

Uko vema tu lakini haya matumizi ya maneno kama hati,makubaliano,mauziano na upimaji yanahitaji ufafanuzi wa lugha nyepesi kwa wengi kuelewa nini ni kipi.Anaweza kukueleza kwamba mtu ana hati kumbe ni maandishi tu local ya bila eneo kupimwa kisheria au wahusika wenye weledi,mind you!
 
Yaani, ndio maana wakati mwingine tunaamua liwalo na liwe.
Imagine nimekaa hapo miaka 20 leo ndio unaniambia huo upupu!

Acha tu.
Yaani anaokota kweli makopo....Ramadhan hii hapa wallah
Itakua iyo sehemu imepanda thaman ndo maan kaleta izo mbwembwe uwa inatokea sijui njaa au wamepata deals so wanarudi yaan makopo angeokota kbs wallah💔
 
1. Kiwanja kikipimwa ina maana Kuna Details Serikali za Mitaa maana huwa wana Raman za Mipango miji (tukienda Manispaa ni mbali sana).
Je hizo Details zinasoma nani mmiliki?.
Ramani ya mipango miji haisemi hapa kwa Ally Pazi pale pa Bii Kidawa. Ramani la mipango miji linasema hapa kuna hifadhi ya makaburi pale pana viwanja vya kuishi P5577 mpaka P5588. Kwishney

Mbili

Mtendani, Mjumbe, Balozi, Mwenyekiti wa Mtaa CAN NEVER HAVE ramani ya Mipango Miji. Halmashauri kwenyewe ukienda na survey plan hawaielewi wanakwambi tuletee ramani ya mipango miji. Yani WEWE UENDE KWA MSAJILI uwaletee wao Halmashauri.

Ramani ya Mipango miji ni updatable and digital, iko kwenye mfumo. Mwenyekiti wa Mtaa computer hana, bando hana, access credentials hana. Wengine ni wa CUF na CHADEMA. Ramani ya mipango miji nani anawapa ?????
 
Maudhiano ndiyo nini
 
Itakua iyo sehemu imepanda thaman ndo maan kaleta izo mbwembwe uwa inatokea sijui njaa au wamepata deals so wanarudi yaan makopo angeokota kbs wallah💔
Ndio, miaka 20 lazima thamani imepanda.
Kapata tamaa na kapata washauri.
Na nguvu anayotumia ni kwa kuwa mnunuzi yuko ndani ya eneo lake🫠

Ndio maana ukienda ofisi za ardhi kama unataka kukatiwa eneo ni lazima ujihakikishie umiliki wa huyo anayekuuzia.
Manaa kuna wewe mnunuzi kufa, kuna utapeli kama huu na pia wakati mwingine kuna tamaa pia.
 
Asijiue tu afatilie mali yake 💔
 
Sidhani kama ni rahisi hivyo kama unavyojaribu kuelezea.Hata ukiwa ni kugawa block moja bado huhitajika taratibu zile zile rasmi za mauziano kwa kiwanja kinachotambulika ardhi(yaani kimepimwa).Kama alifanya kienyeji kwa kuaminiana tu hapo inategemea tu busara ya Mwenye hati. Na kumbuka hapa tumesikia upande mmoja tu ni ngumu kujua picha kamili.Labda awali walikuwa marafiki walioshibana wakapeana tu na huenda sasa jamaa kakengeuka kwa kuona loophole.Tulishawahi kujaribu hii kule ardhi haikuwa rahisi kama tulivyodhani tukaachana nayo.
 
Kuna 3 Sides of story Mlalamikaji, mlalamikiwa na the Truth. Mmoja kati yao anaweza kuwa sawa na the Truth ila sio wote
 
Mleta mada anatakiwa apate taarifa kamili zote ya huo mgogoro ila naona kama amekurupuka,,, alete taarifa kamili ili huyo mtu apate msaada

Je ana document zote za mauziano?
(Mihuli ya serikali za mtaa/sahii za mashuhuda pande zote mbili/sahii ya muuzaji na muuziwa/dole gumba/sahii ya mwenyekiti)

Iyo kesi ni rahisi kama document zote zipo, mashahidi kufa sio tatizo kwani vielelezo vyao vipo,,,uhai wa mtu kufa au kutokufa hakuna wa kuupinga in any circumstance sababu its in our beyond

Atashinda
Swali linakuja, ameuza 2005, anakuja kushtuka 2025, almnost 20yrs ina maana alikua amekufa akafufuka,,, miaka 20yrs yote maendeleo yamesimama or hakujua kama kuna muendelezo kwenye eneo lake??

Aliemuuzia ni mkabila wa wapi?
(Japo nyerere alikataa kuulizana ukabila)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…