Wazee kuna jamaa yangu kaanzisha biashara, kila wiki anataka nimuungishe, imekuwa kero!

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,

Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka

Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery

Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.

Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
 
Kwani huwezi kumkatalia?
 
duh
ujanja wote huna hela ya smoodhii
 
Mimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu...😳
downloadfile-17.jpg
 
Kuna muda inakuwa kero mtu anauza bidhaa bei juu unamuungisha kwa sababu tu ni rafiki yeye anaona ni lazima kununua kila mara.

Kuna dada duodorant anauza 30K wakati kariakoo inauzwa hadi 10K na kila siku naingia kkoo unaamua kumuungisha inageuka kuwa kero. Ukimwambia sina anasema ubahili tu. Hovyo kweli
 
Wakuu,

Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,

Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka

Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery

Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.

Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
Mkubwa ikifikia hatua unaanza kufanya maamuzi yanayowachukiza wengine ujue ndo umeanza kutumia akili kwenye kufanya maamuzi yako,kuwa muwazi kwake,akuletee juice pale tu ambapo unahitaji au umeweka oda,simple namn
 
Back
Top Bottom