Mwambie akiona kimya ajue hauko vizuri atakuelewa, ili msigombane.Inakwaza sana mkuu
🤣Bora ungeniambia tu Sio kuja kunisema humu.
Unapofungua biashara acha kufikili washkaji wako ndio wateja wako hata kama ni watumishi wazuri wa hizo bidhaa unazouzasawa inakwaza ila biashara ngumu sana kaka
ushauri wangu usiache kumuungisha hata kwakiwango kidogo ila usimkasirikie kabisa kabisa
Tatizo mnawaendekeza wenyewe.Kuna muda inakuwa kero mtu anauza bidhaa bei juu unamuungisha kwa sababu tu ni rafiki yeye anaona ni lazima kununua kila mara.
Kuna dada duodorant anauza 30K wakati kariakoo inauzwa hadi 10K na kila siku naingia kkoo unaamua kumuungisha inageuka kuwa kero. Ukimwambia sina anasema ubahili tu. Hovyo kweli
Mbona ana mba mgongo mzima?Mimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu...😳View attachment 3665493
Wanadhani kujiajiri ni mchezo🤣🤣Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee
😁😁.Anza kumkopa
Kwani huwezi kumkatalia?
Kuna muda i😅🤣😁😂😀😅🤣😁😂😂nakuwa kero mtu anauza bidhaa bei juu unamuungisha kwa sababu tu ni rafiki yeye anaona ni lazima kununua kila mara.
Kuna dada duodorant anauza 30K wakati kariakoo inauzwa hadi 10K na kila siku naingia kkoo unaamua kumuungisha inageuka kuwa kero. Ukimwambia sina anasema ubahili tu. Hovyo kweli
Mfungwa hua sichagui gereza mimi...🤣Mbona ana mba mgongo mzima?
Akisema leo haunting anapungukiwa nini kwani??