Wazee kuna jamaa yangu kaanzisha biashara, kila wiki anataka nimuungishe, imekuwa kero!

Wazee kuna jamaa yangu kaanzisha biashara, kila wiki anataka nimuungishe, imekuwa kero!

Sie wa beer unapita kwa mwana ana liquor store.... Unyama tuu huwazi wewe sasa kama kila wiki unapita hata mara moja inatosha
 
Na ndivyo ke wengi wanavyofanya biashara usipomuungisha utasikia neno acha ubahili. Wengine hadi kununa wananuna.
KE wa namna hii wanadhani michakato ya upatikanaji pesa inafanana kati ya mtu na mtu. Ndio maana akiona upo disciplined na pesa wanakuja na slogan ya 'UBAHILI'.
 
Back
Top Bottom