Kwani huwezi kumkatalia?Wakuu,
Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,
Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka
Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery
Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.
Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
Inakwaza sana mkuu
sawa inakwaza ila biashara ngumu sana kakaInakwaza sana mkuu
duhWakuu,
Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,
Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka
Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery
Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.
Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
Matunda mengine yana changanya..Huelewi uanze kula wapi..😀Ili kuaje mkuu mbio zili kuokoaMimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu...😳View attachment 3665493
Leo nilipanga nilale bila nyeto. Ila ndio basi Tena.Mimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu...😳View attachment 3665493
Bwashe, ww endelea kunywa tuu, nyeto itakuua, tuachie sisi hizo pigoLeo nilipanga nilale bila nyeto. Ila ndio basi Tena.
Mkuu sisi wengine tunapigia nyeto kila post ya jukwaa la pisi kaliLeo nilipanga nilale bila nyeto. Ila ndio basi Tena.
Mpe mbinu siyo kumhoji tenaKwani huwezi kumkatalia?
Unafahamu kitu kinaitwa "Socratic Method"?Mpe mbinu siyo kumhoji tena
Mkubwa ikifikia hatua unaanza kufanya maamuzi yanayowachukiza wengine ujue ndo umeanza kutumia akili kwenye kufanya maamuzi yako,kuwa muwazi kwake,akuletee juice pale tu ambapo unahitaji au umeweka oda,simple namnWakuu,