Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Daah! Eti 'ubahili'. Anavyokunyonyoa anaona sawa tu??!Kuna muda inakuwa kero mtu anauza bidhaa bei juu unamuungisha kwa sababu tu ni rafiki yeye anaona ni lazima kununua kila mara.
Kuna dada duodorant anauza 30K wakati kariakoo inauzwa hadi 10K na kila siku naingia kkoo unaamua kumuungisha inageuka kuwa kero. Ukimwambia sina anasema ubahili tu. Hovyo kweli
Ubabe theory ktk biashara😀Mimi kuna mmoja huyo hua analeta maziwa mtindi na madumu ya lita 5 ofisini uwe umeagiza au hukuagiza atakupigia simu na usipopokea anaacha dumu hapo ofisini utajua mwenyewe. Na baada ya hapo ni simu zisizo na idadi kudai malipo.
Aaah mama Pretty huyo mwenye macho ya kurembua na unywele wake natural.Akija umkopeshe hiyo elfu 5 utampa?
Ongea nae tu mwambie si kila siku utahitaji, au ukihitaji utakuwa unamwambia kuliko kujiamulia mambo…
Kujiajiri kazi nyie
Mwambie ukihitaji utaagiza akikutumia hujaagiza hiyo ifanye iwe mkopo utalipa ukijisikia, full stop.Wakuu,
Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,
Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka
Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery
Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.
Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
AiseeWakuu,

Dawa hapo ni kumkopa,Wakuu,

Chaikaka muelewe tu huyo jamaa yako
- siku ukianza kufanya biashara nafkiri utamkumbuka
Hii ndio dawa yake mujarab.Anza kumkopa
Sio guarantee.Wewe endelea kumuunga mwanao,,siku ukikwama atakuvuta
Classmate popote kambi😂Mfungwa hua sichagui gereza mimi...🤣
Kama pesa ipo muungishe mkuu 5000 pesa ndogo sana tena Kwa siku tatu au mbili pesa ndogo mkuu we pokea tu ila mwambie sio kila siku, muda mwingine nakua Sina mzuka
NakaziaAnza kumkopa
You cannot convince someone to want something they don't care about.Wakuu,
Jamani mkianzisha biashara muwe mnaangalia na wateja,
Kuna mwanangu kaanzisha biashara ya smoothies na juice. Alivyoanza biashara yake kiuana nikawa naenda kununua, nikitoka ofisini ntapitia ntanunua hata smoothies mbili nitaondoka
Sasa sijui jamaa kaona dezo, yaani kila baada ya siku tatu ananipigia anataka nimuungishe. Yaani kila Ijumaa na Jumatatu atakutafuta Whatsap anataka uagize juice akufanyie delivery
Na kuna muda anakwambia kabisa nimeshakuandalia kabisa namtuma boda akuletee, yaani hapo kantafuta yeye aniletee.
Nafanyaje wakuu maana imekuwa too much hizo smoothies ni 5,000
Saizi nishatia kambi huku kwenye msiba mkubwa naangalia abaya tu...😋Classmate popote kambi😂
Kuna muda inakuwa kero mtu anauza bidhaa bei juu unamuungisha kwa sababu tu ni rafiki yeye anaona ni lazima kununua kila mara.
Kuna dada duodorant anauza 30K wakati kariakoo inauzwa hadi 10K na kila siku naingia kkoo unaamua kumuungisha inageuka kuwa kero. Ukimwambia sina anasema ubahili tu. Hovyo kweli
Tulia wewe … baki kwenye madaAaah mama Pretty huyo mwenye macho ya kurembua na unywele wake natural.