kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,999 Reaction score 2,582 Sep 9, 2026 #81 Mie jamaa yangu kafungua grocery kila siku jioni tunalewa
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Sep 9, 2026 #82 Sie wa beer unapita kwa mwana ana liquor store.... Unyama tuu huwazi wewe sasa kama kila wiki unapita hata mara moja inatosha
Sie wa beer unapita kwa mwana ana liquor store.... Unyama tuu huwazi wewe sasa kama kila wiki unapita hata mara moja inatosha
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,637 Reaction score 16,913 Sep 9, 2026 #83 McLaren said: Ni Me, njoo nikuprove! Click to expand... So hujiamini kama wewe ni me mpaka mtu aku prove? Huna tafuati na wale wanaokuja humu na kuomba msaada kuwa wanawake wanamtoza sana.
McLaren said: Ni Me, njoo nikuprove! Click to expand... So hujiamini kama wewe ni me mpaka mtu aku prove? Huna tafuati na wale wanaokuja humu na kuomba msaada kuwa wanawake wanamtoza sana.
Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,215 Reaction score 1,594 Sep 9, 2026 #84 Half american said: Na ndivyo ke wengi wanavyofanya biashara usipomuungisha utasikia neno acha ubahili. Wengine hadi kununa wananuna. Click to expand... KE wa namna hii wanadhani michakato ya upatikanaji pesa inafanana kati ya mtu na mtu. Ndio maana akiona upo disciplined na pesa wanakuja na slogan ya 'UBAHILI'.
Half american said: Na ndivyo ke wengi wanavyofanya biashara usipomuungisha utasikia neno acha ubahili. Wengine hadi kununa wananuna. Click to expand... KE wa namna hii wanadhani michakato ya upatikanaji pesa inafanana kati ya mtu na mtu. Ndio maana akiona upo disciplined na pesa wanakuja na slogan ya 'UBAHILI'.
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,978 Reaction score 12,641 Sep 11, 2026 #85 Ushimen said: Mimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu... Click to expand...
Ushimen said: Mimi nilichoka kumuunga huyu binti biashara yake kila usiku, nikaona nihame mkoa tu... Click to expand...