Wazee na Vijana wa Yanga acheni ujinga, nendeni mkajitafutie vipato

Wazee na Vijana wa Yanga acheni ujinga, nendeni mkajitafutie vipato

Manara mjanja sana anawavuruga wanajaa halafu anakaa pembeni.
 
Hao hawana kazi huwa wanashinda pale nje kwenye jengo lao kunywa kahawa nakusubiri vihela vidogo vidogo toka kwa viongozi ili watumike kufikisha ajenda
Eti wazee wa timu
 
Simba na Yanga ni timu za Ccm zinazotumika kuwapumbaza wananchi.

Haiwezekani timu zina zaidi ya miaka 80 zikawa zinashindwa kuwa hata viwanja vyao the same Ccm
Mimi kwa mawazo yangu, Simba na yanga havitokaa vije kumiliki viwanja vyao Hilo halitokaa litokee chini ya serikali ya ccm, sababu inajulikana wazi.
 
Aliewamezesha sumu ya usimba na uyanga watz amewaweza sana. Linapokuja suala la Simba na Yanga watu akili wanaziweka pemben hapo kichwa inabaki empty.
Juzi ilikuwa zamu ya yule mvuta feg, alita waandishi akatoa kauli zake, Jana ilikuwa zamu ya wazee na vijana. Tunasubiri Leo tuone itakuwa zamu ya akina nani.

Kule upande wa pili klabu ilitoa kauli moja tu kuwa hatuchez mechi na wakatoa mapendekezo yao wakatulia.
Dah ila Simba ni wamafia kweli..

Kauli Moja tu...

Majibu yamekua utitiri Hadi kuwaalika watu wa Simba iftar, mara marefa, mara bodi ya ligi , mara watoe matamko , mara akina Arafat wanaongea kwa mafumbo huko Instagram kama muogo mchungu, ooh tunaenda CAS, ooh hatuleti timu, ooh mjiuzulu, [emoji3] wao Simba kimyaaa wamenyuti [emoji23]
 
Wakitoka CAS,watakunywa thupu
Tukitoka CAS tunaenda Fifa na Fifa wakishindwa kuamua tunaenda UEFA hadi pachimbike siku ingine makolo hawatafanya uhuni, watu tumejiandaa kuwakanda makolo 7-0 wao wanakimbia uwanja, gharama za maandalizi za Yanga nani atalipa? Watu wamesafiri kutoka kila Kona ya Dunia kuja Dar nani atawalipa, raia kwa maelfu tumelipa tickets nani atatulipa? Simba na bodi wameonesha dharau kubwa kwa raia wa nchi hii huwezi kuamka na bangi na kusema huchezi mechi kubwa kama derby. Hizo ni akili za darasa la saba b na ujinga pro max!
Hili ni fundisho sindano lazima iwaingie makolo na bodi yao ya ligi hakuna kichaka hapa na timu hatuleti uwanjani kamwe msifanye watu wajinga , uto daima mbele nyuma mwiko.
 
Lazima ateseke akikumbuka kushushwa daraja. Hii ngoma imewakaba kooni ila wanajikaza kisabuni [emoji16][emoji16]
Utasubiri afariki mtoto wa kitukuu wako kuishusha daraja Simba...mechi itachezwa, timu mtaleta uwanjani na siku Moja kabla timu ya Simba itafanya mazoezi kwenye uwanja husika...tuone hizo NDAGU zenu mlizoweka siku zile kama zitafanya kazi tena.
 
Utasubiri afariki mtoto wa kitukuu wako kuishusha daraja Simba...mechi itachezwa, timu mtaleta uwanjani na siku Moja kabla timu ya Simba itafanya mazoezi kwenye uwanja husika...tuone hizo NDAGU zenu mlizoweka siku zile kama zitafanya kazi tena.
Hatutaki kuwafunga tena mbona mnatulazimisha
 
Back
Top Bottom