BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
FigoSawa nitakucheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FigoSawa nitakucheki
Kapime FigoKwamba yaweza kuwa ni TB? Ni hali ya muda mrefu
Cleveland ClinicUgonjwa unaitwa Hyperhidrosis ingia Google soma na namna ya kukabiliana nayo
Kutokwa na jasho kupita kiasi, au hyperhidrosis, ni hali inayoweza kusababishwa na jeni (urithi), mabadiliko ya homoni, wasiwasi, uzito wa mwili, au magonjwa kama vile kisukari na magonjwa ya tezi.Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini?
Nikiendaga mikoa yenye joto kama Dar es salaam ndiyo balaa hata nikae muda mrefu vipi kwamba labda mwili utakua umezoea lakini wapi yani huko ndiyo natembeaga huku najifuta futa mpaka leso yote inaloa chapa chapa.
Mwili wangu ni wa kawaida tu wala sio mnene kabisa mpaka naona sasa hili lishakua ni tatizo. Najua humu kuna wataalam mtanisaidia namna ya kufanya. Kiukweli sijisikii vizuri na hii hali. Tatizo laweza kuwa nini wazee? Na nifanyeje kupambana na hii hali?
Au WEWe Ni Mtu Wa Maji.. .Ni jasho la mwili mzima linaanziaga kwenye paji la uso, usoni kwenyewe, shingoni, na kifuani, tumboni, mgongoni na kote huko kwingine kasoro kuanzia mapajani kuelekea miguuni tu. Mafuta napaka ya mgando tu lotion niliacha kitambo sana baada ya kuona nikipaka ndo nasweat zaidi alafu usoni inanifanya nafikinya fikinya sana macho yani yanakua yanauma. yani nikipaka lotion baada tu ya muda kidogo lazima nikanawe uso ili kuitoa sababu ya macho kuuma
Nyenyegua hunyandui mtu vilivyo na kwenye sex huridhiki so mijasho hayo hutoka toka maana haitoki au huchoshwi kwenye games,. Jingine hii hali ni unakunywa maji mengi sana na hufanyi mazoeziSawa nitakucheki
Figo zimefeli awahi mapemaNyenyegua hunyandui mtu vilivyo na kwenye sex huridhiki so mijasho hayo hutoka toka maana haitoki au huchoshwi kwenye games,. Jingine hii hali ni unakunywa maji mengi sana na hufanyi mazoezi
SO unaniambie mie tena mie sio mlengwaFigo zimefeli awahi mapema
FigoMtAg ShEMeji AtUaMbie Mda Wa kUNYaNdUAna ik0je.. .
Figo zimefeliSO unaniambie mie tena mie sio mlengwa
ShindwaFigo zimefeli
NtakubanduaShindwa
Huna hela hakuna mtu humu ana hela wote hamnaga pole mwaya siuzi for sale is not availablel ambaye yupo ni sitakiNtakubandua
Unique Flower katoto kazuriHuna hela hakuna mtu humu ana hela wote hamnaga pole mwaya siuzi for sale is not availablel ambaye yupo ni sitaki
Hamna hela mnalelewa
NtakubanduaHamna hela mnalelewa
Hio mimba usiitoeHamna hela mnalelewa
Ni system yako tu ya mwili hilo tatizo halikomi....Ni jasho la mwili mzima linaanziaga kwenye paji la uso, usoni kwenyewe, shingoni, na kifuani, tumboni, mgongoni na kote huko kwingine kasoro kuanzia mapajani kuelekea miguuni tu. Mafuta napaka ya mgando tu lotion niliacha kitambo sana baada ya kuona nikipaka ndo nasweat zaidi alafu usoni inanifanya nafikinya fikinya sana macho yani yanakua yanauma. yani nikipaka lotion baada tu ya muda kidogo lazima nikanawe uso ili kuitoa sababu ya macho kuuma