Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Aseeh me nipo na sandals za 15k nitatoboa kweli secretarybird
Kama wewe ni Mwanaume soma Kitabu chake " Encyclopedia of Seduction"Sijawahi kukisoma naweza kupata vipi nakala yake mkuu!?
Mwee! Zinakutongozea kabisa?nina video zake nyingi wanaume wote wangepata hizi hakuna mwanamke wa kukusumbua
Yaani siwezi kuvaa hayo kwa kweliMakobazi Hayo, Yeboyebo
wazee vijana bana daaah, legelege lakini mna manenoe🐒Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Kwani anakulisha acha uzazwaNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
huo ni mfuko.Na hiyo suruali pia imetoboka hapo mguu wa kushoto kwenye goti.
Mdada wa watu ulitaka kumshusha thamani.
Wewe ndio una shida bro, hapo ange mind issue zake huku ana spend ki aina mbona isinge kuwa jau.Watu kama nyie ndo wakutekwa, kiatu gani hicho umevaaa?
Hayo malapa ni ya kuvaa kwenye viunga vya compound yako tu mkuu.Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Au Chachacha😁Makobazi Hayo, Yeboyebo
Sasa amshushe thamani kivipi?, kisa mavazi na crock's mzee?.Na hiyo suruali pia imetoboka hapo mguu wa kushoto kwenye goti.
Mdada wa watu ulitaka kumshusha thamani.
Wanasema ukitaka kujua ukubwa/heshima/uzito/uwezo wa mtu angalia viatu vyakeNimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
Slippers rangi 2 si utaambiwa masharti ya mganga?Wewe ndio una shida bro, hapo ange mind issue zake huku ana spend ki aina mbona isinge kuwa jau.
Sometimes huwa naenda bank na slippers za rangi tofauti, watu wana kutolea mimacho ila uki withdrawal wana anza kuji chekesha,😂😁
Angalia upya mkuu, hicho ni kivuli cha mfuniko wa mfuko wa pembeni.Na hiyo suruali pia imetoboka hapo mguu wa kushoto kwenye goti.
Mdada wa watu ulitaka kumshusha thamani.
Dada nwenyewe amegongea 100k kwa washkaji wawili ndio akaja hapo lkn anaangalia kiatu🤣Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. View attachment 3324670
Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.